Toba yailahi.....Bint Maringo hiyo Avatar yako inanishughulisha mwenzio...
Au hujui mwenzio kama natokea pwani!!
basi hicho kinaitwa KISUTU....
tena kipyaaaaaa
na lazima kimefukizwa naudi na ndani kuna KIKUBA
natamani nikwambie unitumie hiyo thumb au basi iondoe,,,INANISHUGHULISHA mwenzio,,Tooooobaa!!
Wapwa mnisamehe nimetoka nje ya mstari,,uzalendo umenishinda na Avatar ya bint Maringo
Pearl ushafika Pwani weye??? Wayajua hayo?? usinilaumu tafadhali...Ng'ombe hazeeki maini eti!