Ukweli au uongo? Wanume wanamajibu sahihi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,333
  • haijulikani kama ni kweli au uongo kuwa ukiwa nyumbani mkojo haukubani ila ukitoka tu nje ya nyumba yako hazipiti dakika kumi utausikia.
  • mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine huambukizwa.
  • kama una mazoe ya kukojoa mahali, ukikaribia maeneo hayo automatically utabanwa na mkojo.
uongo ni upi na ukweli ni upi?
 
hadisi hadisiiiiiiiiiiii?!
HADISI NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEA
 
  • mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine huambukizwa..
uongo ni upi na ukweli ni upi?


May be hiyo on bold inaweza ikawa kweli...it's just like when you open your mouth with a deep inhalation..Involuntary from drowsinessy or something if there is another person besides you yaani lazima na yeye atafanya the same or you are on the phone with a friend (could be anybody) then uka yawn....most likely na yule mwingine will do the same after 2 seconds...so maambukizo yapo...
 
Toba yailahi.....Bint Maringo hiyo Avatar yako inanishughulisha mwenzio...
Au hujui mwenzio kama natokea pwani!!
basi hicho kinaitwa KISUTU....
tena kipyaaaaaa
na lazima kimefukizwa naudi na ndani kuna KIKUBA
natamani nikwambie unitumie hiyo thumb au basi iondoe,,,INANISHUGHULISHA mwenzio,,Tooooobaa!!
Wapwa mnisamehe nimetoka nje ya mstari,,uzalendo umenishinda na Avatar ya bint Maringo
Pearl ushafika Pwani weye??? Wayajua hayo?? usinilaumu tafadhali...Ng'ombe hazeeki maini eti!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom