Ukweli anaujua mwenyewe

Moyo wako ulisha sema haumpendi, unafikiri jamii forum kuna mtu atakufunga kamba umpende sasa.
 
Jiulize,jishauri , ujijibu mwenyewe kwakua wewe ndiyo utakaekua unatafunwa,ili usijemlaumu mtu na kusema ulipotoshwa.
 
jamaa anajifanya anamapenzi ya dhat na wew ukiona anamsagia mwenzako unaona kama unapendwa sana au wew ndio beauty sana jaribu kumpa papuchi uone kama hajakuachia nyoya
 
jamaa anajifanya anamapenzi ya dhat na wew ukiona anamsagia mwenzako unaona kama unapendwa sana au wew ndio beauty sana jaribu kumpa papuchi uone kama hajakuachia nyoya
simpi ng'o, na kuhusu kumponda anamponda tukiwa watu wengi kabla hata hajanitokea na kuniambia ananipenda
 
usijione unapendwa dada
mwanaume wa hivo haeleweki/ hasomeki kabisaaa

usifurahie kabisa huyo dada anavyofanyiwa bora angekua anambembeleza tu bila hela
lakini hilo janamme na hela linachukua...

ni li jambazi kabisa..
sio mwanaume sahihi kwako dada.
 
Anakudanganya tu..
Kama.anakupenda si angemuacha huyo bi harusi akuoe wewe..
Shida mnadanganyika sana huko maofisini na waume za watu..
Kama unajiheshim huwezi ku intertain mazoea kiasi hicho na mtu wa mtu..
Women bhana ni wanafiki sana..
 
kama unataka mechi za mchangani mkubalie
kama unahitaji serious relationship songa mbele na maisha yako,
ukute na kwa huyo mtarajiwa anakusema na kukuponda kishenzi.
wanaume wanajua sana kucheza na akili za mwanamke be aware.
 
ahahahhahahahahahahaha haya buana
 
Tafuta wako! Ndo mana badae mnalalamika mnachezewa na kuachwa!
 
We kumbe hajatujua wanaume mbinu zetu.kwanza mimi nikija kwako lazima nikuambie nina demu, kisha kinachifuata hapo ni kumponda huyo demu niliye nae,....kama mtu ndo anataka kufunga nae ndoa then anakuambia hampendi mchumba wake aliyetambulishwa kwa ndugu,juwa huyo ni muongo dada unapigwa changa la macho hilo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…