Green tea majanga maana hainywewi na sukari. Sikuwahi kuinywa ila one day nlikuwa safarini kwenda dubai nikaiomba mazee nlitamani kuirudisha ikabidi nijilazimishe tu kuepuka kuonekana mshambana ndo ilikuwa first time kutoka nje ya nchiWachina wanakula sana ukwaju na may umbo yao ni flat. Pia wana kunywa green tea baada ya kula.
mkuu utamu zaidi ..Tupe mchakato wa kutengeneza juice yenyewe.
HahahahaaGreen tea majanga maana hainywewi na sukari. Sikuwahi kuinywa ila one day nlikuwa safarini kwenda dubai nikaiomba mazee nlitamani kuirudisha ikabidi nijilazimishe tu kuepuka kuonekana mshambana ndo ilikuwa first time kutoka nje ya nchi
nilisahau kila kitu mkuu nimeona nifungue mpya tu mana hakuna namnaKaribu naona umerudi na ID mpya kulikoni?
ndo hvyo mkuu we kama unakitambi ebu asubuhi jilazimishe kunywa Nusu lita ya juisi ya ukwaju ulotengeza mwenyewe alafu njo hapa utupe mrejesho wake...Aisee
Chukua kikombe kikubwa acha iwe ya uvuguvugu unakunywa kama kukata kiuGreen tea majanga maana hainywewi na sukari. Sikuwahi kuinywa ila one day nlikuwa safarini kwenda dubai nikaiomba mazee nlitamani kuirudisha ikabidi nijilazimishe tu kuepuka kuonekana mshambana ndo ilikuwa first time kutoka nje ya nchi
Husababisha kuharisha?..Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Sawa mkuu, ila ngoja nifanye uchunguzi kidogo jinsi kitambi kinavyopunguzwa kwa ukwaju.ndo hvyo mkuu we kama unakitambi ebu asubuhi jilazimishe kunywa Nusu lita ya juisi ya ukwaju ulotengeza mwenyewe alafu njo hapa utupe mrejesho wake...
sina maana kitambi kitaisha laa lakini ukifika toi yani ukisema upanue miguu tu mambo hayo yanatoka ...
na ukisema ujikamue aaaaahhh kama unakojoa mkojo mkuu yani mwemweree kabisa
Eeeeh.. unaweza ukaharisha kama siku 3 mfululizo. Ukila kitu tu lazima uende chooni.Husababisha kuharisha?..
Wachina wana massage tumbo mpaka mafuta yanayeyuka lakini haja inaweza kuanzia kwenye kitandani cha massageSawa mkuu, ila ngoja nifanye uchunguzi kidogo jinsi kitambi kinavyopunguzwa kwa ukwaju.
Maana kupata choo vizuri sio suluhu ya kupunguza kitambi.
Kitambi kinatokana na mrundikano wa mafuta mwilini hasa mwenye ngozi, sasa nataka nijue kivipi haya mafuta yanapunguzwa na ukwaju
kitambi kinapunguzwakwa njia nyingi tu.Sawa mkuu, ila ngoja nifanye uchunguzi kidogo jinsi kitambi kinavyopunguzwa kwa ukwaju.
Maana kupata choo vizuri sio suluhu ya kupunguza kitambi.
Kitambi kinatokana na mrundikano wa mafuta mwilini hasa mwenye ngozi, sasa nataka nijue kivipi haya mafuta yanapunguzwa na ukwaju
Niwapo hai, niwapo maiti,Wachina wanakula sana ukwaju na matumbo yao ni flat. Pia wana kunywa green tea baada ya kula.