Habari za masiku tele wakuu
Kwanza nashukuru kukutana na wadau tele humu JF kwa kuwa nilitoka kitambo sana na sasa nimerudi.
Mada husika
Ukwaju na kitambi ni vitu haviendani kabisa,nimeanza kutumia ukwaju japo sina kitambi lakini tumbo langu linanikera kubwa fulani hivi habari yake ni tamu mno
Nimekunywa juisi ya ukwaju nashangaa nikienda chooni kwamba ule uchafu wote unatoka tumboni kwangu? Yaani unashusha mzigo mfululizo kabisa sasa nikaassume je nikitumia kwa mwezi mmoja si hili tumbo litabaki flati kabisa.
Na kuna wadau walishaeleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni au kula mfululizo ..
Wadau tengeneza juisi ya ukwaju mwenyewe kisha inywe glasi mbili mpaka tatu kwa mpigo narudia tengeza mwenyewe juisi ya ukwaju..