bak kalale bwana...utaimba ukute mpaka sauti ikauke,umeme umekatika hakuna hata shikilimuWa mnazi wa mnazi 🙂
Kioo kiooo..alikivunja naaaani?!
Simjui simjui wa mwisho akamatwe atiwe hatiaaaani!!
Watoto wangu ehhhh...
EHHHHHHH
Mimi baba yenu...sina nguvu tena za kuua simba.Simba ni mkali...alia mama...akaua kaka...akau mjomba.
Watoto wangu njoooooooni!
Mtazamaji inawezekana mimi ndo nimepotosha mwisho wa simba ni mkali.....its been a while!!Ehheh alafu kuna huu nlikua naimbiwa na mimi nachangia bila kujua naimbwa mimi!! Desh desh na Devi wanameremeta *4Ohh wanameremeta!!Then nakumbuka tulioteshaga karanga zetu pembeni ya mfereji mimi na msichana wa jirani...waaaay older than me.Nadhani ndipo nilipojenga mazoea ya siku zote kua kwenye kampani ya watu wakubwa kuliko mimi kiumri.Tulikua tunapika kwenye vikopo fulani hivi sijui vilikuaga vya kitu gani....kichoma mahindi nje....kwenda shule na mahindi ya kukaanga....kunywa uji wa chumvi na limao sikuwahi kupenda wa sukari....maparachichi na makande au ugali wa maharage shuleni...chakula la walimu kwa wale tuliokua matawi kidogo....kushika namba asubuhi...kuagizwa kuni,vifagio na vidumu vya kumwagilia...kufinywa ukikosea MWANDIKO....kuhesabu kwa kutumia vifuniko vya soda aka VISODA...kutoroka shule...Dah...lots of memories.Ngoja niwatafute wenzangu tukumbushane vituko vyetu vya enzi zile!Nimekukubali Lizzy kiooo kiooo si ndo ule watu wawili wanshikana mikono alafu wengine mnapita mmoja moja kati kati yule mabye wimbo unaishia kiwa kati kati inakuwaje ....... Miwshoni minavutanaaaaau nimekoseaHiyo ya watoto wangu eheeeeeeeesie tulikiwa tunase hiviwatoto wangu eheeeeeeeeee mimi baba yenu sina nguvu tena ya kuuuua simbaSimba ni mkalialiua mama akaua kaka aya kimbieni....
.....Tulikua tunapika kwenye vikopo fulani hivi sijui vilikuaga vya kitu gani....kichoma mahindi nje....kwenda shule na mahindi ya kukaanga....kunywa uji wa chumvi na limao sikuwahi kupenda wa sukari....maparachichi na makande au ugali wa maharage shuleni...chakula la walimu kwa wale tuliokua matawi kidogo....kushika namba asubuhi...kuagizwa kuni,vifagio na vidumu vya kumwagilia...kufinywa ukikosea MWANDIKO....kuhesabu kwa kutumia vifuniko vya soda aka VISODA...kutoroka shule...Dah...lots of memories.Ngoja niwatafute wenzangu tukumbushane vituko vyetu vya enzi zile!
Ukuti ukuti
Wamnazi wamnazi
Gunia gunia
La chumvi la chumvi
Mwenzetu kapondwa
Na nini, na gari
Tukampleke hospitali, atakaeanguka shauri yake, asije kusema, kwa mama yake, yamle yamle yamle waaaahhh
Abunwasi na mkewe eliza, eliza
walikwenda na safari
ktk ya safari .......................
karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
wakataka na kauli, iwafae maishaini,
kitabu cha wagagagigigogo
Aisee minakumbuka hii salamu kwa walimu na wagen.....
CCM inaamin ya kwamba, kila binadamu ni sawa, na kila mtu anastahili heshima, shikamoooooo mwalimuan je unahali una hali gani?????
Hiyo ni mwalimu akiingia darasan....
Mtazamaji inawezekana mimi ndo nimepotosha mwisho wa "simba ni mkali".....it‘s been a while!!Ehheh alafu kuna huu nlikua naimbiwa na mimi nachangia bila kujua naimbwa mimi!! Desh desh na Devi wanameremeta *4Ohh wanameremeta!!Then nakumbuka tulioteshaga karanga zetu pembeni ya mfereji mimi na msichana wa jirani...waaaay older than me.Nadhani ndipo nilipojenga mazoea ya siku zote kua kwenye kampani ya watu wakubwa kuliko mimi kiumri.Tulikua tunapika kwenye vikopo fulani hivi sijui vilikuaga vya kitu gani....kichoma mahindi nje....kwenda shule na mahindi ya kukaanga....kunywa uji wa chumvi na limao sikuwahi kupenda wa sukari....maparachichi na makande au ugali wa maharage shuleni...chakula la walimu kwa wale tuliokua matawi kidogo....kushika namba asubuhi...kuagizwa kuni,vifagio na vidumu vya kumwagilia...kufinywa ukikosea MWANDIKO....kuhesabu kwa kutumia vifuniko vya soda aka VISODA...kutoroka shule...Dah...lots of memories.Ngoja niwatafute wenzangu tukumbushane vituko vyetu vya enzi zile!
........ hahahahhahmweeee umenikumbusha mbali weeeee. tulikua na zam za kuwapikia walimu basi siku ukiwa jikoni we ni muhimu sana, kama hakuna mwalimu wa kuwasimamia kwa saaana hahahhaha msosi unapitia dirishani.....na kuanzia asubuhi ukijua uko zam hata hom hunywi chai......
kwa wale wa kazi za UK... kubebe mchanga, kuchuma kahawa, kulima vibustani vya waalimu loooh.... kwa wale waliokua wa kwanza kujiliza na deko kibao wanabaki skuli kudeki madarasa yote...
na kombolelaaaaaaaa.... duuu watoto wa siku hizi sijui kama haya mambo yako tena. utasikia mambo ya kina ben 10, super mario na vikatuni kibaaaao na game kibao hata ngoma hakuna tena......
eeehe na somo la sanaa na uchoraji.... kuchonga miiko ( ukiwa mzuri unabaki jikoni au mwalimu anaupeleka kwake), na kutengeneza magari kwa mabua.... ubunifu ule atiii. siku hizi