Ngalikivembubasi sawa
...looh, bwana interested observer kwani usipo support upinzani unakuwa illiterate.Ngalikivembu
What did you expect of such area??
Ileteracy/semi illiteracy almost 99 percent
Ungefanya survey Mbeya, Arusha, Kili, Dar, Iringa etcs etc
Hiyo yako Siyo representative
Hatuhitaji Rubuma Au mikoa 20 ifanye hiyo Kitu kuita. Even one is enough!!
Duh! We badala kumshauri au kusaidia kuwafichua wahalifu hasa wanaoua Polisi (Majambazi) Unahangaika na UKUTA. Okay vijana na wananchi wameogopa na hawataandamana vipi majambazi? Wanahitaji demo ya aina gani?Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Unajidanganya!Wanaccm, salaam!

NonsenseWanaccm, salaam!

Right ungejua wala usingesema. ....!Utajuaje kama kuna ajira kutwa upo kwenye mitandao? Wewe huoni ardhi kubwa nenda kalime au endesha bodaboda.
Nadhani pccb ifungue jalada kwa wahariri wafuatiliwe nyendo zao inawezekana wanatumika kwa maslahi ya wengineUhalisia wa hili jambo ni kua, vyombo vya Habari ndivyo vinavyolikuza.
Ukipita mitaani UKUTA inazungumzika kama habari nyingine zinazosikika na kujadiliwa kwa wingi, ila sio kama jambo ambalo litatendeka katika uhalisia.
Napata fikra labda kuna faida medias zinapata ukilinganisha na madhara ambayo yatatokea endapo jambo husika litafanyika.
Kwa muda sasa wanaghabari wetu wamekua wakipenda kutoa habari zinazovutia masikio na sio habari chanya.
Tabia hii haina madhara ya kuonekana kwa haraka moja kwa moja lakini yapo madhara makubwa sana ya muda mrefu kama haitaachwa.
Ni ombi langu kwa vyombo vya habari kujitahidi kutuletea habari zenye lengo la kujenga umoja na kulinda usalama wa nchi ili kuharakisha maendeleo yetu badala ya kuwa mashabiki wa habari zenye kuvutia kwa muda mfupi.