UKUTA ni Wa kuupinga na kuupuza kwa nguvu zote

Toa sababu kwann ukuta isifanyike (1) kwamwijibu wakatiba (2) kwasababu we uyakia (3) zungumza kwakutambua ww mm na yeyote yulle lazima tuishi kwakufuata Shelia yangu niayo2
 
Wanatuzingua tu mwanzo walituaminisha kuwa wanapambana na ufisadi leo hii wanatetea ufisadi na mafisadi. Hatudaganyiki tena wachukue familia zao wakaandamane nao hiyo tarehe moja.
 
Toa sababu kwann ukuta isifanyike (1) kwamwijibu wakatiba (2) kwasababu we uyakia (3) zungumza kwakutambua ww mm na yeyote yulle lazima tuishi kwakufuata Shelia yangu niayo2
Kama neno tu sheria tu hauwezi kuliandika.......
 
Wanatuzingua tu mwanzo walituaminisha kuwa wanapambana na ufisadi leo hii wanatetea ufisadi na mafisadi. Hatudaganyiki tena wachukue familia zao wakaandamane nao hiyo tarehe moja.
Umenena vyema Mkuu......
 
Ezekieli 13:10 Kwa sababu hiyo, kwa sababu wameshawishi watu wangu, wakisema, Amani; wala hapana amani; na mtu mmoja ajengapo ukuta, tazama, waupaka chokaa isiyokorogwa vema;

11 basi waambie hao wanaoupaka ukuta chokaa isiyokorogwa vema, ya kwamba utaanguka; kutakuwa mvua ya kufurika; nanyi, enyi mvua ya mawe makubwa ya barafu, mtaanguka; na upepo wa dhoruba utaupasua.

12 Na huo ukuta utakapoanguka, je! Hamtaambiwa, Ku wapi kupaka kwenu mlikoupaka?
 
Unachukua vifungu badala ya kutoa habari kamili inayohusu ukuta? UKUTA Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania haupakwi rangi wala Ezekiel haujui.
 
Udikteata unatunyemela na watu wanatoka povu kutetea.Nashauri wakaulize waganda walifanya nini na Nduli Idi Amin Dada.
 
Back
Top Bottom