UKUTA ni Wa kuupinga na kuupuza kwa nguvu zote

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari wana jf

Mimi nikiwa kama mtanzania mzalendo ambaye naipenda nchi yangu ndugu zangu wapenda maendeleo tuukemee UKUTA kwa nguvu zetu zote.. Nimetembea sana ndani ya hizi wiki tatu zilizopita mikoa mbali mbali na hata kuna baadhi ya wilaya nimepita ki ukweli jeshi la polisi liko imara UKUTA utabomolewa watu watavunjwa miguu na hata wengine kupoteza maisha yao kwa vitu vya kijinga kabisa eti UKUTA ..UKUTA ndo nini???.

Ifike sasa watanzania tushtuke wewe unaejidai kwenda kuandamana kwa kivuli cha UKUTA eti UKUTA ndugu yangu jihurumie wewe na familia yako "" kinachosikitisha zaidi unakuta MTU kwake hakuna sukari cha ajabu anataka nae aandamane we kwa nini huo muda usiutumie kutafuta pesa kwa ajili ya familia yako ipate sukari.....et Unakimbilia kuandamana wenzako kina Mbowe teyari wana maisha yao Mazuri watoto wao wanasoma shule nzuri, kwake kaacha sukari sasa wewe jidai kuandamana ukivunjwa mguu ndo utakuwa mwisho Wako ..na kupelekea familia yako kupata taabu hao wanaowaambia muandamane mkisha vunjika miguu hao wanaowaambia muandamane nawaambieni wata watupa kama takatataka.....maana teyari watakuwa washawatumienii ....

Tuutokomeze UKUTA kwa nguvu zoteeeeee.........

Natokeaga "Busega"
 
Chadema hawa ni wavuruga amani tu.

Wanaanzisha fujo kwenye hamna

Wapigwe tu
Kabisa Mkuu na watapigwa tu....nitahumia sana nikiona kijana Wa kimasikini akiumizwa et sa babu ya kiUKUTA.....
 
Habari wana jf

Mimi nikiwa kama mtanzania mzalendo ambaye naipenda nchi yangu ndugu zangu wapenda maendeleo tuukemee UKUTA kwa nguvu zetu zote.. Nimetembea sana ndani ya hizi wiki tatu zilizopita mikoa mbali mbali na hata kuna baadhi ya wilaya nimepita ki ukweli jeshi la polisi liko imara UKUTA utabomolewa watu watavunjwa miguu na hata wengine kupoteza maisha yao kwa vitu vya kijinga kabisa eti UKUTA ..UKUTA ndo nini???.

Ifike sasa watanzania tushtuke wewe unaejidai kwenda kuandamana kwa kivuli cha UKUTA eti UKUTA ndugu yangu jihurumie wewe na familia yako "" kinachosikitisha zaidi unakuta MTU kwake hakuna sukari cha ajabu anataka nae aandamane we kwa nini huo muda usiutumie kutafuta pesa kwa ajili ya familia yako ipate sukari.....et Unakimbilia kuandamana wenzako kina Mbowe teyari wana maisha yao Mazuri watoto wao wanasoma shule nzuri, kwake kaacha sukari sasa wewe jidai kuandamana ukivunjwa mguu ndo utakuwa mwisho Wako ..na kupelekea familia yako kupata taabu hao wanaowaambia muandamane mkisha vunjika miguu hao wanaowaambia muandamane nawaambieni wata watupa kama takatataka.....maana teyari watakuwa washawatumienii ....

Tuutokomeze UKUTA kwa nguvu zoteeeeee.........

Natokeaga "Busega"
Kama mamilioni ya watanzania wanavyo kupuuza wewe
 
Mtanzania mzalendo unaefurahia suala la lugumi kutoshughulikiwa?
Inshu ya lugumi ishaisha mbona ninyi watu huwa mnavichwa vigumu kuelewa aiseee......au ndo D za kiswahili tu zinazowasumbua ...umewahi kwenda katika vituo vya polisi ukakuta mitambo ile haijafungwa???
 
Inashangaza hata richmond ilisemwa na chadema weeeee mwisho hakuna waliyempeleka mahakamani.

Sometimes wawe wanafunga governor midomo maana wanaropkoka bila evidence
Huwa wanashangaza saaanaaa....
 
Inshu ya lugumi ishaisha mbona ninyi watu huwa mnavichwa vigumu kuelewa aiseee......au ndo D za kiswahili tu zinazowasumbua ...umewahi kwenda katika vituo vya polisi ukakuta mitambo ile haijafungwa???
Ameimaliza nani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom