Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
Habari wana jamvi,
Kama kichwa kisemavyo,
Huu ukuta wa mererani ulioagizwa na mh Magu umezua utata kwa namna ulivgopokelewa hasa na washikadau wa shughuli usika za madini,
Kwanza wameshangaa kutolewa maamuzi ya namna ile ambayo kwayo wamesikitika kwamba kwann nguvu hio na gharama hizo wasingejenga barabara sehemu zenye uhitaji.
Wakaenda mbali zaaidi juu ya washauri wa mh. Magu kana kwamba elimu yao ni yakinadharia tuu imewanyima ujuzi wa uhalisia kufikia maamuzi yasiyo na tija au wanaamua kumpotisha tuu mh. Magu.
Wanasema kama mh. Magu hawajui wachimba madini na wadau wake atakuja shtuka shimo linachimbwa mererani wanapolo wanatokea Arusha au hata chumbani kwa mtu na hapo ndo hasara ya kamera itakapo onekana, pia patakua na njia nyingi tuu za kufanikisha wizi kwa serikali kama serikali haitokuja na sera rafiki, shirikishi katika ukusanyaji kodi.
Mimi ni mzalando!!
Duu kweli we "mzalando "!!Habari wana jamvi,

Hujiulizi kwanini bandarini kuna Ukuta lakini ni sehemu inayoongoza kwa wizi?Nyie keng..e msiwe Wapuu..zi kiasi hicho, msipinge kila kitu maana hata migodi ya wazungu ina fence
Kipi kimekusibu, mbona na we unajibu kama "umesukumiziwa"?Nyie keng..e msiwe Wapuu..zi kiasi hicho, msipinge kila kitu maana hata migodi ya wazungu ina fence
Nia ni nzuri laki madini si kama kuangua nazi kwamba mkwezi anaonekana tangia anavyo panda hadi kushuka ,kwa hili imetumika akili ndogo niwe mkweli tumkuu cha kwanza ni kulinda raslimali zetu kwanza.....kejeli na kelele hizo zipo tuu.