Ukumbi wa kuonyeshea mipira(kibanda umiza) niupe jina gani?

Kwa wale wadau wa soka naombeni mnisaidie jina zuri la kibanda umiza lenye kuvutia wateja
Kila siku weka ujumbe kwenye bango lako kwa kutumia ile misemo ya kwenye daladala....na jumbe zingine za kimafumbo zenye utata..
Kwa jina paite: Kachori soccer show au mubashara soccer show
 
Back
Top Bottom