Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.

Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi.

Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
 
Mze Mpili alitumiwa Julai 3 na 23/4 huko Kigoma, baada ya hapo Mze mzima anajiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi kwa ajili ya kupindua uchaguzi ujao. Serikali ilitaka kumpa body guards akakataa kwa kuwaambia kuwa ana watu yeye.
 
Yanga ni timu ya kichawi siku zote, hawana lolote bila uchawi hawachezi mpira. Ndiyo maana kimataifa hawana historia nzuri zaidi ya usindikizaji tu.
 
Mmemaliza paka wote mitaani sasa mnaita wengine wachawi
 
Sawa wavunja nazi.
 
Yanga si timu ya maana, jamaa bila uchawi hawachezi mpira. Ndiyo maana kila wakicheza na Simba lazima watakuja na visingizio kibao, mara watapita geti ambalo hawastahili kupita au kuruka juu ya uwanja na kuingia uwanjani kihivyo
 
Nyau Fc naona mnaweweseka mbaya
 
Simba ambayo haitumii ushirikina inaizidi nn YANGA inayotumia ushirikina?

Makombe ya ligi

YANGA _____27
Simba ______22

Hivi mbumbumbu fc hamuonagi aibu kuona ni jambo la kawaida simba kufungwa na YANGA?
 
Simba ambayo haitumii ushirikina inaizidi nn YANGA inayotumia ushirikina?

Makombe ya ligi

YANGA _____27
Simba ______22

Hivi mbumbumbu fc hamuonagi aibu kuona ni jambo la kawaida simba kufungwa na YANGA?
Kwahiyo timu huwa zinashondania kombe la Ligi peke yake?
Hilo jina utopolo linasadifu vilivyo akili zenu.
 
Baada ya kichapo, nyodo zote kwisha! Na yule pungasese wenu hasikiki kabisa kuanzia siku ile!

Yaani lile shuti la Zawadi Mauya lilikuwa ni shuti la Mazingaombwe!! 😁😁😁 Rage alikuwa sahihi sana kuwaita mbumbumbu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…