Mliosema tangia mwanzo kuwa Yanga ni 'Underdog' kwenye kundi lake mpo humu?

Revola

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
1,408
1,157
Kuna mashbiki maandazi wa simba waliiponda sana yanga na kulikuwapo nyuzi nyingi sana za kuiponda yanga kwamba haifiki popotee na haina uwezo wakuifunga CR kwa kweli kuna muda Kama shabiki wa yanga kutokana na akili za mashabiki wa simba kubeza yanga unajikuta unapata hasira sana za kwa nini hawa kolo wapumbavu hawajielewi kiasi hicho.

Unawaambia kwa mkapa waarabu watapigwa, yanatokea mashabiki yanaanza kuponda bila facts, nadhani mechi ya Jana iwe fundisho kwa mashabiki wapumbavu wa simba, na baadhi nimeona wanaomba msamaha kwa kuipondea yanga na sasa wamekubali. Hawakuamini Jana macho yao yanga kushinda goli 4.

Shida ya mashabiki wengi wa simba wanaishi akilii mwao na takwimu za nyuma kuhusu waarabu, bado wanautumwa wa kuwasujudia waarabu kuwa niwakali kulioko timu za ukanda wa ngozi nyeusi. Na kuna mashabiki bado wana poor mentality ya kuwa timu zetu zikienda kwa waarabu au ugenini lazima ifungwe huu ni upumbavu wa hali ya juu. Yani bado hawaamini timu Kama yanga ikienda kwa mwarabu inauwezo wa kushinda au kutoa sare au kufungwa, wao mentality yao inaamini kwenye kufungwa pekee.

Zama zimebadilika sana WANASIMBA WOTE ONDOENI UPUMBAVU kichwani jifunzeni kukubali na kwenda kwa wakati. Yanga imesajili players wanaokidhi vigezo vya kiushindani, kwa akili ndogo tuu unaona CR vs Alhly wametoka sare then CR aliyetoka sare na alhly anakuja kucheza na yanga yanga huyohuyo unaembeza na kumkejeli anampiga goli 4 nzuri kabisaa, then mwanasimba anakurupuka na akili za kipumbavu yanga kwa alhly atachezea kichapo hivi huyu mtu anakuwa na akili sawa sawa kweli? Yani mentality na historia bado ni utumwa kwenye akili yake anasahau this is football maisha ya dizaini hiyo yamepitwa na wakati.

Mfano mwingine wa mentality za kipumbavu ni kipindi madeama kacheza na CR medeama kashida kwao, wanasimba walivyoona hivyo wakasema utopolo jiandaeni makachezee 5 na nyuzi zikaandikwa humu kuiponda yanga, cha ajabu yanga kaenda kule katoa sare afu kwao na goli moja likakataliwa ilikuwa medeama wapigwe chuma mbili, kumbuka huyo huyo kampiga CR? Kaja kwa mkapa medeama kapigwa chuma 3, the bado unaiita yanga mbovu sijui nini ushabiki maandazi. Wanasimba wote mlioibeza yanga kuwa haijui mpira haina kitu badilikeni ndio maana timu yenu haina performance nzuri sababu ya ujuaji mwingi na ujinga mlio nao.

Jitahidini muwe na positive mentality. sasa mechi ya mwisho tunakwenda kwa alhly nyumbani mpira unadunda kufungwa sio issue ila sio rahisi Kama akili yenu wanasimba inavyowatuma, yanga inapiga kabumbu na huo ndio ukweli na mkiendelea kubisha mtadidimia zaidi.
 
Kuna Rafiki angu shabiki wa simba Juzi kabla ya game hata ya Simba akawa ananiambia Yanga hana uwezo wakupita ila Simba anao.

Mi nilichofanya nikamkubalia nikamwabia tu tunza maneno yako halaf nikamaliza kwa kusema Yanga hana uwezo wakufanya lolote..

Saiv kila nikimtafta ananiambia hatak kuongea na Mimi maswala ya Mpira.
 
Kuna Rafiki angu shabiki wa simba Juzi kabla ya game hata ya Simba akawa ananiambia Yanga hana uwezo wakupita ila Simba anao.

Mi nilichofanya nikamkubalia nikamwabia tu tunza maneno yako halaf nikamaliza kwa kusema Yanga hana uwezo wakufanya lolote..

Saiv kila nikimtafta ananiambia hatak kuongea na Mimi maswala ya Mpira.
Kaka ndio hiyo hiyo mentality naiita yakipumbavu Wanasimba wengi wanaongea kwa mihemko na negativity na huwezi amini ndio inayowadidimiza kila siku.
 
Ukweli Mwingine ni kua Mashabiki wa Simba wengii wanaamini katika Historia na Matukio ya ajabu ajabu kua yatawabeba eti kisa tupo home tutashinda au kisa ameenda huyu away so hawez kushinda Afrika kila timu hushinda kwake.
Zama zimebadilika sanaa, waliiponda yanga msimu wa mwaka Jana kuwa kombe walilocheza ni la loser waje kwa wanaume hukuu, haya walipoingia wakasema anaishia hapo hapo na watakuwa underdog hadi sasa wanaume wanazidi kuchanja mbuga tuu na Leo wapo nafasi ya pili na yapo manasimba yanakwambia huyo atatolewa robo washaanza husda bila kujua
 
Mkuu MG ni kocha wala usiwe na hofu jamaa anajua sana..
Kuna jamaa alisema et jana ndio mwisho wake kumbe ilikua anamtabiria makubwa huyu jamaa ni bonge la kocha..
Niwe mkwel, sikua na iman nae huyu bwana siku zote toka amefika Yanga, mpaka siku ya jana ndio sasa angalau amenishawish
 
Mkuu MG ni kocha wala usiwe na hofu jamaa anajua sana..
Kuna jamaa alisema et jana ndio mwisho wake kumbe alikua anamtabiria makubwa huyu jamaa ni bonge la kocha..
Anasema kama nani ndio ushabiki wa kipumbavu bila kufikiri
 
Back
Top Bottom