Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,642
- 18,649
Dogo anakula unga balaa, hajapumzika mziki wala nn yupo kwenye vituo vya kulelea mateja..Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1
N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.