Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1

N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
nadhani hayupo kwenye spotlight for 3yrs sasa hata kipindi anatangza kupumzk hakuwa kwenye ile peak take

Na niliskia anaanda gospel album , naona gospel ndo imekua uchochoro Wa attention seekers
 
Muziki ni biashara inayosimamiwa na makampuni makubwa yanayowekeza fedha nyingi yakilenga kupata faida hivyo basi masuala ya talent ni irrelevant kabisa.

Thats why WCB wamefanya mtu kama QUEEN DARLIN umjue na anapiga showa kama kawaida ili hali kuna pure talents zinakuwa wasted, the same applies to HARMONIZE, kwanini ulimsikia kila siku HARMONIZE kushinda watu ambao talents zao hazina mashaka kama Barnaba Boy na BELLE 9?

Jibu ni hilohilo moja kuwa uwekezaji unaofanywa na kampuni husika inayomsimamia mwanamuziki huchangia sana kwenye sanaa ya msanii husika.
 
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.

Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))

Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?

Karibuni.
beiber usimfananishe na ujinga
 
Issue ya kipaji inaeza mfikisha mtu mbali lakini awe na uchu wa mafanikio na awe na timing nzuri ya utoaji wa kazi zake...mfano Jason Derulo kila akitoa Album anakuta kuna album kali kuzidi yake sokoni...chris brown haelewani na media nyingi ndo maana hafiki hapo unapowaza...anachowazidi bieber n branding...promotion na timing na uoga wa kufail...pia justin hajatulia hajatoa album...muziki wa wenzetu una njia zake Rihanna,Adele....wote wana miaka minne kama yeye hawajatoa album kwa hivyo subiri atoe ndoseme amefulia...
 
Yote tisa kumi ni Taylor Swift amevunja record ya Michael Jackson kwenye Amercan Music Awards kwa kua na jumla ya tuzo 29 na MJ alikua na 24,

Yaan Taylor, like for real??

Anyway kila nchi na mkali wao so hata Bieber unaweza usione ukali wake lakini ndie anakimbiza.
 
Aisee ..wakati mwingine JF huwezi amini wanachoandika..

Yani huu uzi utafikiri woote waliochangia ni wakolomije..

Bieber mnachukulia poa!! Hamamjui aisee...na bila shaka pia nyimbo zake hamzijui.
 
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.

Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))

Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?

Karibuni.
Sijawahi kumuelewa Bieber hata wimbo mmoja....Derulo na Chris Brown nishawahi kuwaelewa baadhi ya nyimbo zao.
 
Yote tisa kumi ni Taylor Swift amevunja record ya Michael Jackson kwenye Amercan Music Awards kwa kua na jumla ya tuzo 29 na MJ alikua na 24,

Yaan Taylor, like for real??

Anyway kila nchi na mkali wao so hata Bieber unaweza usione ukali wake lakini ndie anakimbiza.
Sasa wewe uko huko Chunya... Unaaccess na Azam tv tu. Anachokifanya Tylor Swift Marekani unakipata saa ngapi..

Just admit You don't know.
 
Back
Top Bottom