Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

Yote tisa kumi ni Taylor Swift amevunja record ya Michael Jackson kwenye Amercan Music Awards kwa kua na jumla ya tuzo 29 na MJ alikua na 24,

Yaan Taylor, like for real??

Anyway kila nchi na mkali wao so hata Bieber unaweza usione ukali wake lakini ndie anakimbiza.
Sijawahi kumuelewa huyu dada na kazi zake
 
Huyo Taylor Swift wamempa kazi maalumu ya kupromoti lgbtq society ndio maana wana mpaisha.
Hawajampa kazi ya kupromote she is a lgbtq+ member kwa hiyo sio kosa yeye kumotivate community yake ukiangalia ni kioo cha jamii.
 
Nimekutana nae hapa cleaveland Ohio akihangaika kutoa Lamborghini lake parking huku washkaji wake wakimuelekeza nimeshindwa kumuuliza swali lako, ulinzi haukuwa Tait sana halafu huku hawatembei na mabaunsa kama kwenu bongo lala.
 
Muziki ni biashara inayosimamiwa na makampuni makubwa yanayowekeza fedha nyingi yakilenga kupata faida hivyo basi masuala ya talent ni irrelevant kabisa.

Thats why WCB wamefanya mtu kama QUEEN DARLIN umjue na anapiga showa kama kawaida ili hali kuna pure talents zinakuwa wasted, the same applies to HARMONIZE, kwanini ulimsikia kila siku HARMONIZE kushinda watu ambao talents zao hazina mashaka kama Barnaba Boy na BELLE 9?

Jibu ni hilohilo moja kuwa uwekezaji unaofanywa na kampuni husika inayomsimamia mwanamuziki huchangia sana kwenye sanaa ya msanii husika.
Queen darln alikuwapo kabla ya mond Wala wcb haijulikan tulishamjua kitambo saaaana akiwa KGT
 
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.

Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))

Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?

Karibuni.
SIDHANI KMA ITAKUWA SAHIHI ZAIDI KULINGANISHA VIPAJI VIWILI VYA WATU WAWILI TOFAUTI, UKUBWA WA JASON DERULO NA HESHIMA YAKE ALIYOIJENGA ITABAKI PALE PALE VIVYO HIVYO KWA BREEZY NA JB. JB ALIWAHI KUTWEET MWAKA 2013 KUWA ATA RETIRE FROM MUSIC LAKINI ALIENDELEA NA MUZIKI HADI 2015 KIPINDI KILE CHA PURPOSE TOUR. FROM THERE AKAENDA KUPUMZIKA HADI LEO HAJAWAHI KURUDI NA SOLO PROJECT IJAPOKUWA AMEKUWA AKIONEKANA KTK FEATURING MARA KADHAA KAMA NYIMBO YA DJ KHALED "I'M THE ONE". UKISEMA KUNA MTU ALIM POP UP UTAKUWA HUJATENDA HAKI MAANA THE GUY IS TALENTED. HUWEZI KUSEMA AMEPOTEA WHILE THE GUY AMEPUMZIKA, HII SI KITU KIPYA KWA WENZETU KUFANYA HIVI, MAJUZI TEDDYBEAR (ED SHERAAN) ALISEMA ANAENDA KUPUMZIKA KUIMBA HADI 2021 NDIO ATARUDI BAADA YA KUIMALIZA TOUR YAKE YA DIVIDE, HIVYO HIVYO KWA BRUNO MARS PIAH NAYE AMECHILL OUT KIDOGO BAADA YA KUMALIZA TOUR YAKE, ADELE ALIWAHI KUPUMZIKA NA HATA JOHN LEGEND, JAY Z, P DIDDY, LIONEL RICHIE WALIWAHI PIA KUPUMZIKA.
RIHANA KWA SASA PIA AMEPUMZIKA, JE NA HAO TUSEME WAMEPOTEA?? TUJIFUNZE KUCHANGANUA MAMBO KTK MAPANA ZAIDI, MUZIKI NI KAMA KAZI ZINGINE NA PIAH WASANII NI BINADAMU KAMA SISI KUNA MUDA WAHITAJI KUISHI MAISHA NJE YA SANAA NA KUFANYA MENGINE NJE YA SANAA.
HAIMAANISHI UMEPOTEA KIMUZIKI BALI UNAJARIBU KUIJENGA NJIA YAKO KTK MFUMO MWINGINE, BADGAL RIRI AMEJIKITA KATIKA BIASHARA ZAKE ZAIDI KWA SASA LAKINI SI NIDHAMU KU CLAIM AMEPOTEA. MAYBE TUNASEMA HIVI KWA SABABU HATUJAZOEA HIVI KTK SANAA YETU AMA TUNAONA SI SAWA, LAKINI UKWELI NI KUWA KILA KITU TUNACHOFANYA KUNA MUDA KINAHITAJI UPUMZIKE KIDOGO ILI KUWA BORA ZAIDI, AMA KUFANYA MENGINE YALIYO BORA PIA.
 
sidhani Kama suala la kupumzika ni geni kwa tunao fuatilia burudani na wala halihitaji tufikirie kwa mapana sababu ni jambo lililo wazi
Nadhani ungejaribu Ku stick hapo penye ukubwa ule unge make sense zaidi
 
Nimekutana nae hapa cleaveland Ohio akihangaika kutoa Lamborghini lake parking huku washkaji wake wakimuelekeza nimeshindwa kumuuliza swali lako, ulinzi haukuwa Tait sana halafu huku hawatembei na mabaunsa kama kwenu bongo lala.
ahaha sawa bwana mi nipo queens muda huu
 
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.

Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))

Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?

Karibuni.
Kitu kikubwa kilichombeba ni uzungu wake

Km unavyojua jinsi watu wa race nyingine wanavyowaadmire wazungu kwa kila kitu wanachofanya

Na hii ni kwa wote sio wahindi waafrika wajapan na wachina.
 
sidhani Kama suala la kupumzika ni geni kwa tunao fuatilia burudani na wala halihitaji tufikirie kwa mapana sababu ni jambo lililo wazi
Nadhani ungejaribu Ku stick hapo penye ukubwa ule unge make sense zaidi
UNADHANI JB HAKUWA MSANII MKUBWA?? KAMA AMBAVYO UMETUMIA PARAMETER YA WASANII KAMA JASON NA BREEZY?? UMEFIKIRI KATIKA POLIMUSIC HUKU UNA IGNORE TALANTA YAKE?? JE UNADHANI HAKUWA NA TALENT?? AU TALENT YAKE HAIKUWA KUBWA??

STILL UNAULIZA KWANINI AMEPOTEA WAKATI UNAJUA KUNA KUPUMZIKA, KIPI KINAKUONYESHA AMEPOTEA WAKATI ALIWAHI KU TWEET 2013 KUWA ANATAKA KUPUMZIKA KATIKA MUSIC, MWAKA HUU KAMA SIO MWAKA JANA AKA TEASE KUJA NA ALBUM LAKINI AKASEMA SIO KWAKA HUU MAYBE FUTURE YEARA LATER,

POINT YAKO YA MSINGI NI IPI?? JB WAS TALENTED AND HE WAS MORE THAN PURE KAMA WALIVYO BREEZY NA JASON, ALIKUWA ANAFANYA POAH KATIKA LANE YAKE, SAUTI YAKE NA MDUNDO WAKE, CHARACTER YAKE ILIKUWA YAUPEKEE KAMA ZILIVYO ZA WENGINE, JE UNADHANI NANI ALIKUWA BEHIND KWAKE??

LETS KEEP THINGS TIGHT AND REAL JB IS A GOOD AS LIKE JASON AND BREEZY SIONI UNACHOTAFUTA KUTOKA KWAKE KIKA MAKE SENSE.
 
Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christ
Yesu noma, Ila ukimgugo wanaleta picha ya nani?
 
Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christ
Sasa ata yesu naye si alitafutwa kwa sababu ya mambo yake ya kimungu inshort kila mtu anatafutwa kwa sababu ya sector yake aliyomo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom