INAHITAJI MOYO VITA SIO LELE MAMA VITA NI VITA, NA UNAPOVIANZA USIRUDI NYUMA!!! haihitaji ni muda gani umesubiri kupata haki yako, lakini muda ndio huu, usimuamini mtu amini mabadiliko utakayo yaona. Itafika muda watu watazikimbia hizo bahasha na watoaji wa bahasha hizo watatafuta sehemu ya kuzificha zisipatikane machoni pa watu.