Ni kwa wakristo wa marekani au unamaanisha ukristo dunia nzima umepoteza mwelekeo?Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa
TUNAKOELEKEA MAKANISA YATAKUWA MAGOFUIngawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa...
TRUkuna kanisa North Carolina mitaa ya Harleston street, ni marufuku kwa black yeyote yule kuingia humo kusali.it's not fair nyumba ya ibada kushikama na racism.
mbona kama unaikimbia dini yako, kulikoni ustaadh?Si tulikubaliana kuwa dini zimebaki kuwapelekesha waafrika kumbe na wamarekani nao inawapelekesha mputa.
Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.
Kutumia dini kwenye siasa ni kujenga mbomoko kwenye jamii. Kazi ya dini ni kjenga jamii siyo kugawanya jamiiGod Bless The USA - Official Store
Welcome to the official God Bless The USA store. GodBlessTheUSA.com is proudly endorsed by Lee Greenwood and is your home for all things America.godblesstheusabible.com
Easy-to-read, large print, and slim design, this Bible invites you to explore God’s Word anywhere, any time. This bible has been designed so that it delivers an easy reading experience in the trusted King James Version translation. This large print Bible will be perfect to take to church, a bible study, work, travel, etc.
Sijaelewa hoja yako
Huyo hata akisema uwongo alimradi anaamini dini itakua zaidi alaah atamzawadia pepo,huko kusema uwongo dini iwe na wafuasi wengi huwa siyo tatizo hata kitabu chao kimewaelekeza hilo.Wakristo gani wanaojieneza kwa kupinga Islam wakati uislam umekuja miaka 600's baada ya Ukristo? Wapi umeona Ukristo unajieneza kwa kupinga uislam? Unatupotosha wewe maamuma naona swaumu inakupelekesha.
KANISA ni mtu.TUNAKOELEKEA MAKANISA YATAKUWA MAGOFU
Mkuu sio kweli kwa sababu hata hao waarabu na wazungu na Wao dini waliletewa kama waafrika walivyo letewa.Dini ni ishu ya utamaduni.
Ukristo na waafrika wapi na wapi?
Uislamu na uafrika wapi na wapi?
Ninyi waafrika ndio mnajua sana kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu.
Ukristo ni Uzungu
Uyahudi ni kwa waisraeli
Uislamu ni kwaarabu
Uhindu ni kwa Wahindi
Ubudha ni kwa wachina.
Ninyi mnakiherehere