Ukraine yatungua Hypersonic missile ya Urusi

Ukraine yatungua Hypersonic missile ya Urusi

Hii habari wataelewa tu mazezeta wa west. Wakati aliyetengeneza patriotic anakiri haziwezi kuintercept hizo missile chawa mnadai mmefanikiwa kuintercept. Uchawa kazi sana.
Kwa jinsi mnavyoisifia na kuitukuza Urusi. Ndiyo tatizo la kuwa na Fuvu bovu linaloshindwa kujiulizaa kwa ukubwa na urusi na udogo wa ukreini kwanini mpaka leo bado Vita inaendelea zaidi ya mwaka.
 
Timu western si huwa mnawazoa ma pro wa urusi kuwa hypersonic missiles ni uongo

Sasa sisi tusiofungamana na upande wowote tuamini zipo, mmedungua au hawajawahi kuwa nazo
Hypersonic haijawahi tumika
 
Maelezo mengi Ila pumba tupu,unashindwa kujua details ndogo ndogo kama Kinzal ni aero ballistic missiles Ila warusi wakaamua kuipachika jina la Hypersonic missile ikiwa haina sifa zote za Hypersonic missile.

Zile ballistic missiles za Iran zinatembea kwa hypersonic speed lakini Iran wenyewe hawaziiti Hypersonic missile unadhan kwanini?! Punguza mahaba!
I dont care unacho zungumza - for a starter leo hii Uktaine yenyewe imekiri kwamba habari zenyewe ni fake - kama huna umeshindwa kutambua kwamba wananacho dai ni hypersonic war head ni zege walilo mould kwa kutumia patterns zinazo fanana na hypersonic war head ili kugiribu watu wenye upeo mdogo wa masuala ya forge and foundry technology - kumbuka si kila mtu ni mjinga kiasi hicho - angalia wanao ku-support "birds of a feather"- hawana hata muda wa kutafakari mambo kiundani kwanza - mradi umeisema Merikani watasema chochote kinacho X their mind - majority wala hawajawahi kuvuka hata Atlantic wala Pacific labda kwa ungo au tiara - lakini wanajifanya wanafahamu masuala yote ya utawala wa Merikanini like back of their hands - ulaghai mtupu!!!
 
Huo uchawi ambao Babu Putin kawaroga sio wa nchi hii

Maafisa wa Marekani wathibitisha Kinzal kutunguliwa na Patriot,Kwa mujibu wa New York Times.

The downing of a Russian hypersonic Kinzhal missile by a Patriot missile, confirmed by three senior U.S. officials, appeared to offer the first proof that Russia’s hypersonic missiles — presented as invulnerable by President Vladimir V. Putin — could be defeated by current Western missile defense systems.

The U.S. officials said that they had received information about the strike from the Ukrainian military through classified channels. One official added that U.S. military analysts were able to verify the claim using technical means.
Ukraine Claims It Shot Down Russia’s Most Sophisticated Missile for First Time
 
Sisi tunaona kinyago cha zege na unene wake - leo hii nani anaweza kuamini propaganda hiziza kitoto - ni afadhali wasingepiga picha za kinyago cha zege ambacho wao wanadai eti ni Russian hypersonic sijui version gani kuliko kujidhalilisha na adithi za Alinacha - tatizo lao kubwa ni kutapatapa kwao ili kudhiliiishia Dunia kwamba Patriot zaidi!!! Ulaghai mtupu, watu wanao fahamu vizuri mfumo wa Patriot walisha sema mara nyingi tu kwamba Patriot haina uwezo wa ku-intercept wala kufanya chochote dhidi ya makombora ya Patriot hata Wamerika wenyewe walidha kiri mara nyingi tu kwamba kwenye AD systems zao hakuna hata moja yenye uwezo wa kudhibiti makombora hayo ya Urusi - sasa sisi watu baki pamoja na Al Jazeera tuna uwezo gani wa kubishana na Majenerali wa Kimerikani - Patriot zinazo shindwa hata kudhibiti home made roketis za wanamgambo wa Yemeni, leo hiii nfio Patriot wajifanyewe wanaweza kutungua hypersonic missiles za Warusi - kweli, hayo wananganye watu ambao upeo wao ni mdogo.
Wajinga Sana, wakielimishwa wataelewa
 
Hamna akili ya kuchambua ukweli na propaganda.
1. Kombora linasafiri kwa mac 10. Ukraine haina defence missile zaidi ya mac 3
2. Yaani Kombora liwe na speed x10 ya mwanga halafu ligongwe libaki na tundu kama ya Nazi

NB: Viongozi wa jeshi LA Ukraine wameishakanusha taarifa hii.
It only fly hypersonic during mid-course when it is above the atmosphere BUT at terminal phase,it will slow down to supersonic speed to better acquire the target. Once it slows down,Patriot can intercept it just like any other ballistic missile.
 
Back
Top Bottom