Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Amekuta mambo si mambo,kiranja wa dunia anashikishwa adabu.Mkuu kumbe upo?
Upo kimya sana. Jukwaa la kimataifa umeadimika sana.
Sijui wale chawa promax Yoda na MK254 na MTZ 255Dar wataficha wapi nyuso zao.Ukraine wenyewe wametengua kauli, hii ni fake news!!
Kwanza unajua maana ya "hypersonic" pili unajua kwanini mpaka leo marekani kafeli kuzitengeneza?Hakuna Mrusi wa Buza atakayekubali hii taarifa.
Yani watu wajinga kweli aisee!! Yani ni sawa mtu aseme kobe kamkamata chui

Ukraine says it used US-made Patriot system to intercept Russian hypersonic missileHizo ni propaganda!! Ingekuwa ni kweli BBC na CNN wangekuwa wa kwanza kuripoti hiyo!! Hiyo taarifa toka ukraine wanayo lakini wakaona wasiingie mkenge wakaminya!! Aljazeera ndo kaingia kichwa kichwa kutangaza propaganda za ukraine!!
Wajukuu wa babu hamuamini mnachokiona.Ukraine wenyewe wametengua kauli, hii ni fake news!!
Ha ha hahahaha AA! Mkuu, upo. Kitambo sana.Ukraine imesema imefanikiwa kutungua kombora la hypersonic Aina ya Kinzal lililorushwa na Urusi wiki hii huko Kyiv.
Kinzal ni air launched ballistic missile ambayo ina accelerate kufikia hypersonic speed hizo za Hypersonic missile ni propaganda Tu za Urusi.Kwanza unajua maana ya "hypersonic" pili unajua kwanini mpaka leo marekani kafeli kuzitengeneza?
Likitunguliwa la pili utaamini. Jipe muda vita bado mbichi hii.Ha ha hahahaha AA! Mkuu, upo. Kitambo sana.
===
Kwenye mada. Mkuu, kumbe bado haujautafuta ukweli mida wote huo? Umeniangusha. Hizi habari za waUkraine kuangusha hiyo kombora nitaziamini nikipata ushahidi wa kuridhisha. Kwa Sasa naona blah blah!
"I congratulate the Ukrainian people on the historic event," said Ukrainian Air Force Commander General Mykola Oleshchuk on Telegram. "Yes, we shot down the 'unparallelled' Kinzhal' missile," he added.Ha ha hahahaha AA! Mkuu, upo. Kitambo sana.
===
Kwenye mada. Mkuu, kumbe bado haujautafuta ukweli mida wote huo? Umeniangusha. Hizi habari za waUkraine kuangusha hiyo kombora nitaziamini nikipata ushahidi wa kuridhisha. Kwa Sasa naona blah blah!
Wametengua lini?!Ukraine wenyewe wametengua kauli, hii ni fake news!!
Maelezo mengi Ila pumba tupu,unashindwa kujua details ndogo ndogo kama Kinzal ni aero ballistic missiles Ila warusi wakaamua kuipachika jina la Hypersonic missile ikiwa haina sifa zote za Hypersonic missile.Sisi tunaona kinyago cha zege na unene wake - leo hii nani anaweza kuamini propaganda hiziza kitoto - ni afadhali wasingepiga picha za kinyago cha zege ambacho wao wanadai eti ni Russian hypersonic sijui version gani kuliko kujidhalilisha na adithi za Alinacha - tatizo lao kubwa ni kutapatapa kwao ili kudhiliiishia Dunia kwamba Patriot zaidi!!! Ulaghai mtupu, watu wanao fahamu vizuri mfumo wa Patriot walisha sema mara nyingi tu kwamba Patriot haina uwezo wa ku-intercept wala kufanya chochote dhidi ya makombora ya Patriot hata Wamerika wenyewe walidha kiri mara nyingi tu kwamba kwenye AD systems zao hakuna hata moja yenye uwezo wa kudhibiti makombora hayo ya Urusi - sasa sisi watu baki pamoja na Al Jazeera tuna uwezo gani wa kubishana na Majenerali wa Kimerikani - Patriot zinazo shindwa hata kudhibiti home made roketis za wanamgambo wa Yemeni, leo hiii nfio Patriot wajifanyewe wanaweza kutungua hypersonic missiles za Warusi - kweli, hayo wananganye watu ambao upeo wao ni mdogo.
Nimeipitia habari yote kwenye linkWajukuu wa babu hamuamini mnachokiona.
Ukraine wamekiri Leo,vyombo vingi vya kimaitaifa wameandika hii habari
Ukraine announced on Saturday that it has downed a Russian hypersonic Kinzhal missile for the first time amid continuous attacks by Moscow that took place in the night between last Wednesday and Thursday in Kyiv.
Explained | Ukraine downs Russia’s hypersonic Kinzhal missile. Here’s all you need to know
Acha uvivu,picha za mabaki zipo huko online zilianza kuzagaa tangu juzi. Ukraine wamekiri Leo.Nimeipitia habari yote kwenye link
===
Haya ni maneno yaliyosemwa na Mkuu wa kamandi ya anga ya Ukraine
"said Ukrainian Air Force Commander General Mykola Oleshchuk on Telegram. "Yes, we shot down the 'unparallelled' Kinzhal' missile," he added
===
Hivi hiyo khinzal iliyotunguliwa imeyeyukia hewani kwa hiyo chini yamefikia majivu? Hakuna Hata kipande kimeokotwa kudhibitisha hili? Pia je Mkuu Kwa kuwa upo Karibu na command centre ya Ukraine unaweza kuwashawishi watupe coordinate za eneo ilipotunguliwa hiyo khinzal!?
Asante.
Mkuu unajua kabisa Mimi si mvivu wa kusoma maandiko. Hii link uliyoweka habari nimeisoma yote na Hata video iliyo kwenye link hiyo yenye dakika kumi nineitazama pia Hakuna mahali wameonyesha mabaki ya Khinzal.Acha uvivu,picha za mabaki zipo huko online zilianza kuzagaa tangu juzi. Ukraine wamekiri Leo.