Ukraine yatungua Hypersonic missile ya Urusi

Ukraine yatungua Hypersonic missile ya Urusi

Kinzal ni air launched ballistic missile ambayo ina accelerate kufikia hypersonic speed hizo za Hypersonic missile ni propaganda Tu za Urusi.

Ina characteristics zote za ballistic missiles kama kufata ballistic trajectory, hypersonic missiles hazifati ballistic trajectory.
Sasa mbona unasema hilo kombora limedunguliwa na hako kamfumo ka marekani?
 
Missiles za tangu miaka ya 1960 zinatembea kwa hypersonic speed lakini sio hypersonic missiles.

Hypersonic zipo tokea miaka ya 80 huko kwa sasa ni maboresho tu, hata hio inayosemwa ni hypersonic ilitunguliwa ikiwa katika stage ya speed ndogo mwishoni kabisa haikutunguliwa ikiwa kwenye speed kali,,,,,, hypersonic zipo version nyingi ila ni teknolojia ya zamani
 
Kupata vichekesho kama hivi tubonyeze ngapi
 
Hypersonic zipo tokea miaka ya 80 huko kwa sasa ni maboresho tu, hata hio inayosemwa ni hypersonic ilitunguliwa ikiwa katika stage ya speed ndogo mwishoni kabisa haikutunguliwa ikiwa kwenye speed kali,,,,,, hypersonic zipo version nyingi ila ni teknolojia ya zamani

"hypersonic ilitunguliwa ikiwa katika stage ya speed ndogo mwishoni kabisa haikutunguliwa ikiwa..."

Cha muhimu imetunguliwa. Hayo mengine Sisi hayatuhusu.
 
Back
Top Bottom