Ukraine yapiga marufuku muziki wa Urusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,624
Bunge la Ukraine limepiga kura kuunga mkono mswada unaopiga marufuku baadhi ya muziki wa Urusi kwenye vyombo vya habari na maeneo ya umma nchini humo.

Mswada huo, uliopata kura za uungwaji mkono 303 kati ya 450 unapiga marufuku baadhi ya muziki wa Kirusi kuchezwa kwenye televisheni, redio, shule, usafiri wa umma, hoteli, migahawa, sinema na maeneo mengine ya umma

Marufuku hiyo itahusisha wanamuziki na watunzi ambao ni au walikuwa raia wa Urusi baada ya 1991, hata hivyo wasanii ambao wamelaani #RussiaUkraineWar wanaweza kutuma maombi ya kutohusishwa katika marufuku hiyo

==============

Ukraine's parliament has voted in favour of banning some Russian music in media and public spaces.

The ban will not apply to all Russian music, but rather relates to music created or performed by those who are or were Russian citizens after 1991.

Artists who have condemned Russia's war in Ukraine can apply for an exemption from the ban.

The import of books from Russia and Belarus will also be prohibited under the legislation.

Many of those living in areas of east and south Ukraine have historically felt a strong connection to Russia, often speaking Russian as their first language.

But Russia's invasion of Ukraine has led many Ukrainians to want to separate themselves from Russian culture.

The bill, approved by MPs on Sunday, bans some Russian music from being played or performed on television, radio, schools, public transport, hotels, restaurants, cinemas and other public spaces.

It secured support from 303 of the 450 deputies in the Ukrainian parliament.

SOURCE: BBC NEW
 
😄😄 hio itawasaidia UKRAINE kurudisha majimbo Yao.
Mkuu mpaka bunge linakaa na kuamua mambo yao ni kujua Urusi ameshindwa kuisambaratisha Ukrean na rais wao sasa leo mwezi wa 5., jiulize kwanza nchi yenye vita dhidi ya Russia bado wenye nchi wana relax na kusema hatutaki mziki wa kirusi jua Russia ameshindwa vibaya mnoo.
 
Nilitaka kuuliza kuwa kumbe na bunge linaendelea na shughuli zake?
 
Mkuu mpaka bunge linakaa na kuamua mambo yao ni kujua Urusi ameshindwa kuisambaratisha Ukrean na rais wao sasa leo mwezi wa 5., jiulize kwanza nchi yenye vita dhidi ya Russia bado wenye nchi wana relax na kusema hatutaki mziki wa kirusi jua Russia ameshindwa vibaya mnoo.
We jamaa hio ndio maana ya Operation ya mrusi. Yeye analenga jeshi sio Civilians.
 
Hawa wanawafanya hivi wananchi ndio tuwape nchi hawa waongoze ?? Apana kwakweli hatuwapi
20220617_231918.jpg
 
Tovuti ya habari ya jarida la Fin Journal inasema kwamba "vikosi viwili vya askari wa kukodiwa vilivyotumwa kutoka Poland hadi Ukraine vimesambaratishwa 15km kusini mashariki mwa eneo la Zaporozhye Kulingana na data ya awali, tunazungumzia juu ya wanajeshi 350 waliouwawa.
 
Back
Top Bottom