Ukraine yapeleka vita ndani ya eneo la Urusi

Wako kwenye denial,wanashindwa kukataa kuwa meli haijazama,wanachojaribu kujifariji ni kutafuta sababu ya hiyo meli kuzama,acha tuwaambie kabisa Meli imezamishwa na Nyangumi ili wajisikie vizuri.
Ngoja nasikia wameondoa zingine na kuzirejesha kwenye eneo lao kitendo kinachothibitisha kwamba imepigwa na kombora la adui kwani wasingeondoa hizo nazo zingezamishwa vilevile.
 
Hii vita inanikumbusha mbali sana, enzi nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi, kuna siku nimemzingua dogo mmoja ambaye nilikua namdharau kisa mfupi na mdogo, ila kilichofatia nilijikuta natamani tutenganishwe maana nilikua naishiwa pumzi, dogo alijitutumua kishenzi hachoki mpuzi halafu wanafunzi wanashabikia badala ya kufanya busara ya kututenganisha, nusra nife.
Mkuu umeamua utunge story ili ujumbe uwafikie .
 
Back
Top Bottom