Ukraine yapeleka vita ndani ya eneo la Urusi

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,908
Wachunguzi wa Urusi wanasema kuwa Ukraine ilifanya mashambulizi ya anga kwenye eneo la makazi nchini Urusi mapema leo.

Maafisa wanasema helikopta mbili za kijeshi zinazoruka chini zikiwa na silaha nzito zilishambulia mji wa Klimovo, na kuwajeruhi watu saba akiwemo mtoto na kuharibu nyumba sita.

Ripoti za shambulio hilo - ambazo hazijathibitishwa kwa njia huru - zilikuja baada ya Moscow kutangaza kuwa itashambulia kwa mabomu maeneo ya Kyiv na maeneo mengine ya Ukraine ikiwa vikosi vya Ukraine vitaendelea kushambulia eneo lake.

Kulingana na gavana wa eneo la Belgorod la Urusi, kijiji cha Spodaryushino kilipigwa makombora na Ukraine, na kusababisha uhamishaji wa watu .

Akiandika kwenye Telegram, Vyacheslav Gladkov alisema hakuna mtu aliyejeruhiwa na hakuna majengo yaliyoharibiwa.

Madai hayo yanajiri baada ya maafisa wa Urusi kuishutumu Ukraine kwa kufanya mashambulizi ya anga kwenye eneo jingine la makazi ya watu katika mji wa Klimovo katika eneo la Bryansk.

Wiki mbili zilizopita, bohari ya mafuta pia ilichomwa moto huko Belgorod - Urusi ilidai Ukraine ilihusika na hii pia.

BBC haiwezi kuthibitisha ni nani aliyehusika na matukio haya, lakini Ukraine ilikanusha kugonga bohari ya mafuta ya Belgorod mapema mwezi huu.
Screenshot_2022-04-15-08-45-33-40.jpg
 
Sasa meli au nyambizi kuzama ni kitu kipya duniani? Ungesema Ukraine ndo wameilipua angalau ningeshangaa
Mtakoma mwaka huu

Urusi hadi kaishiwa maneno kwanza alikataa madai ya Ukraine ambayo militia tangazo kwanza kuwa meli yake wameipiga

Baadaye akageuka kasema ilikuwa na ina shida ya mawimbi wakati wanaivuta ikalipuka bila kueleza nini kilisababisha ilipuke baadaye akasema imezama !!

Putin mwaka huu atakoma
 
Akome nini sasa wakati ni wazungu haohao wa NATO ndo wanampa hela za kupigana Vita kwa kununua gas ya urusi? Ana uwezo wa kupigana hii vita hata miaka 10 bila mawazo. Lazima wanunue gas yake
 
Surgutneftegaz, one of Russia's largest oil producers, failed three times in the past week to find buyers for 6.4 million barrels of oil despite a tight market that has pushed prices to eight-year highs. Russian oil producers are selling their output at a discount as large as $18 a barrel, according to Energy Intelligence, an industry publication.

As a result, oil exports from Russia could fall by 1 million barrels per day (bpd) through June, Rystad Energy, an Oslo-based research firm, said on March 3. That would deprive the country of about $12 billion in revenue over that period based on current oil prices of more than $100 a barrel. Russia exports about 7 million barrels of oil and oil products a day.

Russian oil companies could be forced to cut production because the country doesn't have enough storage to hold the oil it is struggling to sell, Rystad Energy analyst Louise Dickson told RFE/RL.

Arctic Dreams Dead?

The sanctions, though, will also have longer-term effects on Russian oil production and sales.

State oil giant Rosneft, headed by close Putin associate Igor Sechin, is developing the massive Vostok Oil project in the Arctic that was expected to produce and export as much as 2 million bpd by 2030.

Vostok is the biggest oil project to be undertaken in Russia since the fall of the Soviet Union. To finance its development -- which will require tens of billions of dollars -- Rosneft last year sold stakes in the project to foreign global-commodities traders. Rosneft is now likely to struggle with securing financing and technology for Vostok's development as Western firms exit.

SEE ALSO: BP's 2003 Investment In Russia Heralded A New Era. Will Its Exit Do The Same?
Overall, Western oil-field-service companies have orders representing about a quarter of all oil and gas investments in Russia, according to Rystad. "Should those contractors leave the country, it will undoubtedly cause delays and disruptions to ongoing operations," the research firm said. Rystad said Vostok "will be slowed and some Russian projects might be canceled altogether."

Russia could also face problems upgrading its oil refineries due to Western technology sanctions, Dickson said. Russia exports more than 2 million bpd of oil products.

'Wake-Up Call'

Europe is moving quickly now on its energy-diversification plans amid concerns Russia could cut gas supplies as the "economic war" -- as some EU officials have called it -- deepens.

Denmark has already given approval for construction of a pipeline to bring Norwegian gas to Poland after permission was suspended last year. Poland relies on Russia's Gazprom for about half of its gas needs.

In the coming week, the EU will propose measures to expand renewable energy at a faster pace to replace Russian gas. "We need to get independent from Russian gas, oil, and coal. Our resolve to go forward in this case is stronger than ever," European Commission President Ursula von der Leyen said on March 3.

Richard Morningstar, a former U.S. special envoy for Eurasian energy and an analyst at the Atlantic Council, a think tank, told
 
Hii vita inanikumbusha mbali sana, enzi nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi, kuna siku nimemzingua dogo mmoja ambaye nilikua namdharau kisa mfupi na mdogo, ila kilichofatia nilijikuta natamani tutenganishwe maana nilikua naishiwa pumzi, dogo alijitutumua kishenzi hachoki mpuzi halafu wanafunzi wanashabikia badala ya kufanya busara ya kututenganisha, nusra nife.
 
Sasa tukuamini wewe na hizo propaganda zako, au tuamini kauli ya OPEC Secretary General Mohammed Barkindo, kuwa mafuta na gas ya Russia haviepukiki.. "you cannot replace Russian oil"?
 
OPEC yeye ni mzalishaji oil na gas lakini uzalishaji gas na mafuta uzalishaji wao kiduchu akiongea kwa ufinyu wa akili Alionao

Marekani sio mwanachama wa OPEC lakini anazalisha mafuta na gesi mengi kuliko.nchi zote za OPEC ukizijumlisha kwa pamoja wameanza kuuza ulaya .

Pili nchi za Ulaya zinaongelea sasa hivi kutumia vyanzo.vingine vya nishati kama nuclear,makaa ya mawe, Upepo ,umeme wa ardhini na maji nk kuondoa utegemezi kwa urusi
 
Haha mabwege yanatutesa kweli kweli mpaka nimeanza kunywa beer mamaee, patrol = bia aina ya pilsner 3 na chenji inabaki ya JoJo
 
Hii vita inanikumbusha mbali sana, enzi nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi, kuna siku nimemzingua dogo mmoja ambaye nilikua namdharau kisa mfupi na mdogo, ila kilichofatia nilijikuta natamani tutenganishwe maana nilikua naishiwa pumzi, dogo alijitutumua kishenzi hachoki mpuzi halafu wanafunzi wanashabikia badala ya kufanya busara ya kututenganisha, nusra nife.
pole sana
 
Imezamishwa na pweza na papa kwa maana ni wengi sana kwenye ile bahari nyeusi. Tuwape pole warusi wa Yombo Vituka kwa msiba kwa maana Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Wako kwenye denial,wanashindwa kukataa kuwa meli haijazama,wanachojaribu kujifariji ni kutafuta sababu ya hiyo meli kuzama,acha tuwaambie kabisa Meli imezamishwa na Nyangumi ili wajisikie vizuri.
 
Back
Top Bottom