Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
--------------------___________
na wameimeza bila maji tena ni vidongeDawa ishaingia tayari,
Wanaanza kukubali dozi kimya kimya [emoji28]
Hawa kenge ukishakua na nyuklia nyumbani kwako.NATO hawana jipya zaidi ya kuwaonea wasio na nguvu!
Tena vidonge vyenyewe vikubwa na vichungu Kama vya arv[emoji28]na wameimeza bila maji tena ni vidonge
hahaTena vidonge vyenyewe vikubwa na vichungu Kama vya arv[emoji28]
Ni kweli kabisa, ingeepusha mengi sana. Kusingekuwa na uhaba wa nganoWangesema haya tangu February,
Tungeepusha mapagale na magofu mengi sana uko Ukraine[emoji4]
Ndio maana hawataki Iran imiliki Silaha za Nuclear.Hawa kenge ukishakua na nyuklia nyumbani kwako.
Hawasogezi makalio yao kabisa[emoji28]
Tena nyuklia nzitoHawa kenge ukishakua na nyuklia nyumbani kwako.
Hawasogezi makalio yao kabisa[emoji28]
Dawa ishaingia tayari,
Wanaanza kukubali dozi kimya kimya [emoji28]
Na Kwa tabia zao hizo,iran lazima wayamiliki Tena Kwa msaada wa mrusiNdio maana hawataki Iran imiliki Silaha za Nuclear.
Wairan wanakaa kimya,lakini mimi nafikiri mabom/makombora ya Nyukila wanayo aidha kwa kupewa au kuyanunua kutoka Korea Kaskazini au Pakistan (an Islamic Bomb). Iran inashirikiana sana na wataalam wa Korea Kaskazini katika uundaji WA Roketi za masafa marefu na yakati - wako advanced sana katika nyaja hizo - Israel hisije ikajidanganya kwamba IRAN haina mabom/makombora ya Nyuklia.Na Kwa tabia zao hizo,iran lazima wayamiliki Tena Kwa msaada wa mrusi