Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Nyumba tatu zote za nini?Mtu anaweza kuwa na nyumba moja au asiwe nayo kabisa amepanga tuu na ana uhakika wa maisha mpaka kufa kwake, siyo wote wanafikiria kama wewe, kuna watu wanapanga apartment dola 2000 kwa mwezi na hawana nyumba
Nimeandika kwa lugha ya picha
But Mantic ni kuwa kutoboa bado sana
 
Wana faida gani sasa duniani? Hawa lazima wametopea kwenye uchawi ndio Maana hata ishu ya msosi wanakuangalia kwa jicho baya
Hujawaumba mkuu
Lazima dunia inapata faida na uwepo wao
 
kwanini usianze wewe kuonyesha tofauti au kufungua njia.
 
Thanks for encouragement
But feeling trapped in the cycle
 
Ushapata habari za nabii mkuu Geor Davie??
 
Change ianzie kwako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…