Ukoo unaendaga kwenye vikao vya ukoo?

Ukoo unaendaga kwenye vikao vya ukoo?

Sina mchango wowote maana wanajua sina pesa kwa hiyo huwa wanaitana tu halafu "wananisahau"
 
Mambo ya msingi sana hayo mkuu,jikaze toa pesa,hao ndiyo ndugu zako,ukiwakataa hao kitakulamba siku moja
 
Back
Top Bottom