Hali ya mawasiliano katika jimbo la Ukonga DSM imezidi kuharibika kutokana na ubovu mkubwa wa barabara uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa wiki moja.
Barabara zote kuu za kuingia jimboni Ukonga hazipitiki zikiwemo barabara za Banana Kivule,Banana Kitunda,Banana Machimbo,Mombasa Kwa Mkolemba,Mombasa Kwa diwani nk
Hali hii imesababisha wananchi kuamka saa nane za usiku na kutembea kwa miguu kuwahi makazini
Wananchi wameilaani vikali CCM yenye mbunge na madiwani wote ambao wameshindwa kabisa kujua kipaumbele cha watu wa Ukonga.
Pia wananchi wamemlaani vikali meya wa manispaa ya Ilala Jerry Silaa ambaye ameshindwa kusimamia hata ujenzi wa barabara moja ya Ukonga huku bila aibu akipitapita na kujitangaza kwamba atagombea Ubunge jimbo la Ukonga.
Jimbo la Ukonga lipo Manispaa ya Ilala na Jerry Silaa ni meya wake na pia ni mmoja wa madiwani wa Ukonga.
Wananchi wameapa adhabu pekee inayostahilili unyama huu ni kukinyima CCM kura za Ubunge na nafasi zote za udiwani na kuwapa UKAWA.
Mbunge wa sasa wa Jimbo hilo Mama Eugene Mwaiposa hashtushwi kabisa na mateso ya watu wa Ukonga,hakutani na wananchi na wala haishi Ukonga.Mwaka jana alipopolewa kwa mawe eneo la Kivule baada ya daraja kuvunjika na yeye kuja kukejeli wananchi wa eneo hilo.

Mbunge wa sasa wa Ukonga Mama Mwaiposa ameshindwa kabisa kutuwakilisha wananchi wa Ukonga. Na hii ni kutokana na uwezo wake mdogo sana alionao. Kutokana na uwezo mdogo alionao hata hakustahili kuwa mgombea wa ccm lakini kwakuwa Mzee Makamba (Katibu Mkuu ccm) alikuwa na maslahi nae alifanya kila mbinu akateuliwa na baadae kushinda ubunge kwa wizi wa kura na uchakachuaji mkubwa.
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gongolamboto ndani ya Jimbo la Ukonga nae ni mzigo mwingine tulionao wananchi wa Jimbo la Ukonga.
Meya ameshindwa kabisa kusaidia hata upatikanaji wa magreda ya kukwangua barabara za Jimbo ili angalau zifae kupitika katika kipindi chote cha mwaka. Manispaa ya Ilala inamiliki mitambo mbalimbali ya ujenzi kwahiyo kilichohitajika ni maelejezo tu ili barabara zetu zichongwe, kwakuwa suala la kuziwekea lami ni jambo gumu sana kwao wote wawili Mwaiposa na Jerry!
Sasa katika maajabu ya dunia eti hawa viongozi wawili ambao kimsingi wamekuwa ni mizigo isiyobebeka katika Jimbo letu, eti nao wanataka Ubunge!Mwaiposa amepewa miaka mitano lakini performance yake ni zero halafu anataka tena!? Jerry amekuwa Meya wa Manispaa ya Ilala kwa miaka mitano lakini performance yake ni zero. Ni hivi karibuni tu alitimuliwa kwenye kamati ya PAC baada ya kushindwa kuonyesha zilipo sh.12bilioni za vijana kwenye manispaa ya Ilala anayoiongoza.
Lakini jambo moja ni kuwa maccm yameendelea kuifanya kazi yetu kuwa nyepesi kwakuwa wagombea wao wote ni mizigo isiyobebeka na hao ndio wanataka kuiongoza Ukonga. This time aroundtutawanyorosa tu si Mwaiposa wala Jerry!
Last edited by a moderator: