Ukonga waapa kiama ya CCM ni October, Meya Silaa kitanzini

Ukonga waapa kiama ya CCM ni October, Meya Silaa kitanzini

Yeyote anae mtetea Mbunge huyu lazima atuambie kafanya nn sio ngonjera za kutetea mtu kama huyu hata wana nchi wake hawamjui
 
Ukonga hatuitaki CCM,yaani mimi nitakuwa number mmoja kupinga kampen ya kumuondoa yule mama kama atagombea tena,Jerry nae hamna kitu,kwa hiyo CCM haina nafasi ukonga

Leo umeamka vizuri
 
Asante mkuu kwa kusema ukukwl na si ukonga tu bal ni nchi nzima ccm wamefanya watu kuwa maskin, vijana hawana ajira, wameua mashirika ya umma yote, wanaUkonga wasikubal kbs kuichangua ccm yaan chama cha majambaz, kwaher ccm bai bai tunawashukuru sn kwa kuleta umaskin tanxania hii haliyakuwa nchi yetu inautajir wa kutubwa.
 
Yeyote anae mtetea Mbunge huyu lazima atuambie kafanya nn sio ngonjera za kutetea mtu kama huyu hata wana nchi wake hawamjui

Watu wa Ukonga wanaamini kabisa kabisa kwamba hawana mbunge.
 
Ukonga hatuitaki CCM,yaani mimi nitakuwa number mmoja kupinga kampen ya kumuondoa yule mama kama atagombea tena,Jerry nae hamna kitu,kwa hiyo CCM haina nafasi ukonga

Asante sn kwa kutambua hilo hongera na endelea kuhamashisha watu wengine, je? Tujiulize ccm miaka 52 ya uhuru imetufanyia nn sisi wananchi? Pia tujiulize mali tulizo nazo Tanzania hii tuna kila kt sipaswi kuzieleza sn maana kilamtu anazijua sema wengine wamejitoa tu ufaham.
 
Back
Top Bottom