- Thread starter
- #21
Siasa hiz bhnaaa, Leo mnalaumu mbunge na madiwan wa Ukonga ambao ni Ccm ila hali inakuwa tofauti kwa Mbunge wa Ubungo kwa kero ya maji jimboni kwake.
Nyie machadema watu ajabu sana na cjui mnapata wapi ujasir wa kuwasemea wananchi wa Ukonga
Naona hujitambui.
Hapa tunazungumzia ubovu wa barabara za Ukonga na wala siyo maji Ubungo.
Kukusaidia tu jimbo la Ubungo lina madiwani wengi wa CCM na ndiyo hupanga bajeti ya manispaa.
CCM ni Janga la Kitaifa.