Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Inasikitisha lakini tulitegemea na tutegemee makubwa zaidi!Nimemsikliza Kibonde kwenye jahazi na wamefanya jitihada za kumhoji diwani,na kiongozi mwingine wa mtaa pia kamanda wa polisi na baadhi ya majeruhi.Nimesiktishwa na response ya kamanda wa Polisi hasa baada ya kusema wamewakamta watu 19 ambao ndio wanaamini wamshiriki katika mauaji.Kama kawaida askari wa FFU wanatembeza mkong'oto hapa ukonga mombasa
Hata mimi nimeshangaa mkuu' sasa huyu unategemea apambane kuokoa familia? Hawa wanaume wa dar hovyo kabisa.Mwanaume unaanzaje kuandika kama hivi, naona kabisa hapa dishi limeyumba
Basi mwenyewe unakaa kwa shemeji unajiona kabisa umefika mjiniKwa kauli hii lazima hujawahi kuvuka hata Chalinze, ungeuliza kwa shemeji yako kwanza taarifa za jiji hili kabla hujajibu.
Mwanaume unaanzaje kuandika kama hivi, naona kabisa hapa dishi limeyumba
Demu akitoka mkoa ukimpeleka mlimani city umemaliza. Unakula mpaka tigoMwanaume unaanzaje kuandika kama hivi, naona kabisa hapa dishi limeyumba
Pambaneni wanaume acheni kulialiaMm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
kwani hao askari wamebeba silaha gani?Kama kawaida askari wa FFU wanatembeza mkong'oto hapa ukonga mombasa
Basi mwenyewe unakaa kwa shemeji unajiona kabisa umefika mjini
Povu la nini Mkuu,yani nguvu unazotumia kupaniki hapa kama ungezitumia kupigana na hao askari muda huu ungekuwa umelala ndani kwako badala ya mtaroni.Acha use*nG* kibuyu ww....cjaquote kwny uziwako wala cjaquote kwny post yko yyte na pia sijakuhusisha kwny post yng yyte kwhyo ni vzr ukajiheshimu **** kibuyu wewe
Povu la nini Mkuu,yani nguvu unazotumia kupanic hapa kama ungezitumia kupigana na hao askari muda huu ungekuwa umelala ndani kwako badala ya mtaroni.
Huku tunalima tu,ila fanya mpango na wewe utoke kwa shemeji.Msimu umeanza huko? Andaa shamba tu.
Basi jifunze kuandika kiswahili fasaha,mbona kitu rahisi tu Mkuu...mambo ya kuandika xaxa,cjuy cku etc yanakushushia heshima yako kama great thinker.Kwanza me siko dar...Pili Maneno yako ndo yameniudhii
Acheni ujinga, wewe ni me au ke?Mm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
Basi jifunze kuandika kiswahili fasaha,mbona kitu rahisi tu Mkuu...mambo ya kuandika xaxa,cjuy cku etc yanakushushia heshima yako kama great thinker.
Mkuu usibishane na hawa watoto wa Facebook na Instagram... wamepotea humusio xana ni sana...xana ni maandishi ya mahanithi
Aaah wapi! Labda mahaus geli mnaotoa usukumaniDemu akitoka mkoa ukimpeleka mlimani city umemaliza. Unakula mpaka tigo
Ni katika kurekebishana tu ndugu yangu don't take it personallyKama ww unadhn hvo ni sawa kwa upande wko...ss usitumie kigezo iko kumdisturb mtu mwingne...km hujapendezwa na aina ya uandishi wng inapaswa upite bila kulike wala kucomment...hakuna sheria ya aina ya kutype umu...ungeweza kubaki ata na fikra zko bila kumharibia mtu cku....ni hayo tu
Mkuu hebu usinichekeshe mimi!! Hivi huwajui wanaume wa Dar? Ukitaka kuwafahamu vizuri wanaume wa Dar mwangalie Ray Kigosi, muda wote kujichubua kama dada zao! Sasa wewe unawalaumu nini mkuu? Hao ni sawa na mabinti tuuu!!Na leo tena
Chukueni mawe mapanga na marungu wasiwazingue bana nyinyi wanaume wa Dar vipi mmekaa kama wanawake kulialia tu ingekuwa mkoani nchi nzima ina taarifa ya polisi kuuawa