Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Jun 18, 2021 #1 Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Soma, Pia Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15, vijana wapewe nafasi ya kushiriki siasa za nchi yetu Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo PENDEKEZO: Ubunge na Udiwani uwe vipindi 2 kama Urais
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Soma, Pia Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15, vijana wapewe nafasi ya kushiriki siasa za nchi yetu Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo PENDEKEZO: Ubunge na Udiwani uwe vipindi 2 kama Urais
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jun 18, 2021 #2 Hilo halitakubaliwa na hao hao wabunge watakaotakiwa kutunga hiyo sheria
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Jun 18, 2021 #3 Awamu mbili maximum hili liwemo kwenye Katiba mpya. Meneja Wa Makampuni said: Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Click to expand...
Awamu mbili maximum hili liwemo kwenye Katiba mpya. Meneja Wa Makampuni said: Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Click to expand...
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,410 Jun 18, 2021 #4 2025 Hai tunakwenda na Mbowe
P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,694 Reaction score 3,309 Jun 18, 2021 #5 Muulize Jenister,lukuvi,ndugai Wana majibu
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Jun 18, 2021 Thread starter #6 ππππππππππππ
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Jun 18, 2021 Thread starter #7 ππππππππ
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Jun 18, 2021 Thread starter #8 Kweli tunakazi kubwa
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Jun 18, 2021 #9 Pia mishahara yao iangaliwe upya, ikatiwe kodi na waingizwe katika makato ya mifuko ya hifadhi za jamii ili wanapomaliza uongozi wapewe chao kama wastaafu wengine wanavyopewa stahiki zao.... Kinachofanyika sahivi ni kuchota pesa, kula jasho za watu.
Pia mishahara yao iangaliwe upya, ikatiwe kodi na waingizwe katika makato ya mifuko ya hifadhi za jamii ili wanapomaliza uongozi wapewe chao kama wastaafu wengine wanavyopewa stahiki zao.... Kinachofanyika sahivi ni kuchota pesa, kula jasho za watu.
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,566 Reaction score 3,642 Jun 18, 2021 #10 Pia kwa walio na umri wa miaka chini ya 60. Wasubiri mafao yao wakifikisha miaka 60. Mafao hayo yatokane na jinsi walivyochangia..! Vinginevyo warudishe fao la kujitoa..!
Pia kwa walio na umri wa miaka chini ya 60. Wasubiri mafao yao wakifikisha miaka 60. Mafao hayo yatokane na jinsi walivyochangia..! Vinginevyo warudishe fao la kujitoa..!