Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,351
RR Discovery 5 ina muundo kama imepigwa pasi.Sio range rover discovery au defender ...zile ni land rover kawaida
Ukiiona inperson utajiuliza mara 100 kama unainunua au la.
RR Discovery 5 ina muundo kama imepigwa pasi.Sio range rover discovery au defender ...zile ni land rover kawaida
Zinafanya vizuri dunia ya 3. Tena wanaonunua ni taasisi au serikali. Middle East wananunua wakazikimbe jangwani.Mkuu LC 200 na RR ni washindani, sasa huyo LC 200 unayosema hazivutii ndio zinafanya vizuri sokoni na zimeuzwa idadi kubwa kumzidi RR.
Mkuu LC 200 na RR ni washindani, sasa huyo LC 200 unayosema hazivutii ndio zinafanya vizuri sokoni na zimeuzwa idadi kubwa kumzidi RR.
Toyota ndio wametaka iwe competitor wa Bimmer na s class za MB. Sasa toyota hio 2020 unakuta bado imeachwa nyuma na bimmer ya 2008 tena sana tu.Gari bonge nyanya.
Ndo Polepole anajitutumua unaijua V8 wewe kumbe mafi tu.
Kuna wakati watu wananunua Benz, Audi au BMW sio kwamba wanaka heshima, ila hizi gari zimetengenezwa vizuri sana.
Kuna mbuzi mmoja juzi ananiambia Toyota Crown ni mbadala wa Merc Benz S Class. Nilitamani nimkate mbata akafie mbele. Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.
Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.
Sema ni umasikini wetu.
Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.
Sema ni umasikini wetu.
Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Toyota wana HYBRiD Synergy Drive inayopush gari kwa umeme na mafuta. It does the same function. Kwahio hamna geni hapo, hujapata kushuhudia gari inayoenda kwa mafuta ya 25,000 Dar-Moshi.Toyota ndio wametaka iwe competitor wa Bimmer na s class za MB. Sasa toyota hio 2020 unakuta bado imeachwa nyuma na bimmer ya 2008 tena sana tu.
Kuna rafiki yangu amenunua 1 series kwa 18M ya 2013 karithishwa na jamaa yake, sasa ununue ist kwa lipi jengine kama sio upatikanaji wa spea rahisi tu hio 1 series ukiwa umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota? labda wakuekee siti za kusogeza mbele na nyuma kwa button halafu waite luxury.
Tafta Lexus ndio ufanye comparison na hio gari. Lexus ndo division inayo deal na Luxury vehicles.Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.
Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybridToyota wana HYBRiD Synergy Drive inayopush gari kwa umeme na mafuta. It does the same function. Kwahio hamna geni hapo, hujapata kushuhudia gari inayoenda kwa mafuta ya 25,000 Dar-Moshi.
Hata Lexus kwa RR hamna kitu. Umebadilishiwa taa na grill shape ya body (which is still ugly btw), umewekewa features za kawaida ndani ambazo zilitakiwa ziwe standard kwa lc200 na ile price yake,Tafta Lexus ndio ufanye comparison na hio gari. Lexus ndo division inayo deal na Luxury vehicles.
Gari bonge nyanya.
Ndo Polepole anajitutumua unaijua V8 wewe kumbe mafi tu.
Kuna wakati watu wananunua Benz, Audi au BMW sio kwamba wanaka heshima, ila hizi gari zimetengenezwa vizuri sana.
Kuna mbuzi mmoja juzi ananiambia Toyota Crown ni mbadala wa Merc Benz S Class. Nilitamani nimkate mbata akafie mbele. Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.
Watu wanakariri mbaya kabisa mzee baba yaani wao wakisikia tu Benz/Mercedes basi wanajua ni gari ya maana sana.Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.
Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.
Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Concept si ile ile lakini mzee? Issue ni kusave mafuta.Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybrid
Hebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!Watu wanakariri mbaya kabisa mzee baba yaani wao wakisikia tu Benz/Mercedes basi wanajua ni gari ya maana sana.
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.
Sema ni umasikini wetu.
Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.
Sema ni umasikini wetu.
Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Subiri sasa wajombe waje kubisha,watakwambia gari ni 2 tu 7 series na S-class basiHebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!
Hio kitu ni takataka kabisa mzee baba,acha mhindi aendelee kuwapiga vizuri tu hao wapenzi wa L/rover.Mkuu link hii hapa ambayo ina malalamiko ya new Land Rover Defender.
Hii chombo haitokuwa na maisha nasikia hata injini wametumia aina nyingine ambayo ni mpya.
Hii ikipelekwa njia korofi na za kibabe kama Dakar Rally Route ya South America au Africa km 4000 itarudi imepakiwa kwenye roli.
Lengo ni kusave mafuta ila concept ni tofauti, one you can drive with the batteries the other you can't drive, just idling tu.Concept si ile ile lakini mzee? Issue ni kusave mafuta.
Kwahio hio ya kuendeshwa na battery sio HYBRID? Ama hujui maana ya HYBRID?Lengo ni kusave mafuta ila concept ni tofauti, one you can drive with the batteries the other you can't drive, just idling tu.