Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,519
2,000
nimeicheki ni kali, naona waliamua waachane na vile vi body vyao ndio maana imekuwa kali
RAV4 zina tatizo la kuwa na migulubaja... Linachutama, hilo ni tatizo kuu la hizo gari, wheel alignment inahitajika nafikiri kila baada ya KM 3000 duh
 

Kuhani Noah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
1,581
2,000
'Hebu itizame new model land rover defender'

Aisee hio gari ni takataka kabisa from design(shape mbaya kinyamaaa) mpk reliability.

Kuna a/c maarufu huko youtube inaitwa Fast lane car jamaa alinunua hio gari akaenda nayo off-road ya kawaida maana anasema huko alikoenda gari yoyote ile yenye 4wd inaenda,wkt anarudi kwake gari ikamuwashia check engine light kumbuka mpk hapo gari ina Km 270 tu na ina siku mbili tu tangu imenunuliwa,ikabidi ipelekwe kwa dealers kutengenezwa imerudi tena barabarani jamaa anagundua camera za nyuma hazifanyi kazi na kwa US sheria zao kwa sasa ni camera ya nyuma ni lazima ikabidi irudi kwa dealer tena,na anasema mpk muda ule engineers wa LR hawajaweza kutatua tatizo hilo,hawajui shida iko wapi.
Basi ngoja ni ahirishe kuliagiza... kumbe mabovu hivyoo.. lisije nitesa bure
 

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,465
2,000
RAV4 zina tatizo la kuwa na migulubaja... Linachutama, hilo ni tatizo kuu la hizo gari, wheel alignment inahitajika nafikiri kila baada ya KM 3000 duh
Na likishachutama linakuwa kama mbuzi jike anayekojoa
images%20(3).jpg
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
Maoni ya wanamtandao wengi wamestushwa na habari hizo kwani gari hizo zimeonekana kupendwa sana hasa na vijana kutokana na muundo wake pamoja na perfomance yake, na wameenda mbali zaidi kwa kudai kuwa gari za juu aina ya SUV zipo nyingi sana kwanini TOYOTA wamekuwa na akili mgando za kuachana na utengenezaji wa gari hizo.


Hao ni wabongo wanaotaka za milion 13
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
Pia tukumbuke kuwa hizi crown ambazo zimejaa hapa Tanzania ni za kitambo kuanzia 2005-2013..
Sasa kama matoleo yanaishia mwakani naona bado kuna muda mwingi wa kuendelea kuagiza haya Magari,nahisi bado crown zitaendelea kutumika mpaka mwaka 2030

2030 ni karbu sana ...izo habari ya kusitishwa wanajua wachache eg ist 2nd generation toka 2016 haipo sokoni ila leo unakaa kijiweni mtu anasema toyota anauza sana ist sababu wanaona old model zilivonyingi wanajua bado zinatoka kiwandan kumbe new model ake ni miaka minne haipo sokoni ...

Kifupi wakimaliza hizo zitatapakaa sana ile ist ya pili hivo bado kuna miaka mingi sana ya kutumia ist sembuse crown ndo bado sana
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
Mnyama nilikiwa namkubali sana kwenye safari ndefu kitu kimetulia puling ya kutosha TOYOTA, shida wanamuwaza sana RANGE ROVER ..... wabaki kwenye mstari tu vinginevyo mambo yatakuwa magumu sana

Mnaonunu used ndo mnaopiga kelele....hao wameona hailipi ...we unaweza nunua vitz mpya ya milion 30 plus🤔 unataka uje nunua baada ya miaka 10

Kama walivoacha production ya IST baada ya mauzo kuwa mabovu ndivo wataacha pia na crown
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
Design ya gari exterior na interior inavutia, yaani ukiambiwa milioni mia unasema kweli. Sasa tizama Toyota, hakuna ata effort ya ku justify milioni mia

Pick up yao single cabin kuna mtu alinununua 145m tsh mpyaa ..simaanishi hilux namaanisha pick up as body style cruizer
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
LR ni Luxury brand lakini iko vizuri kwenye offroading, kwanini uende vitani na luxury brand? halafu toyota ni cheap na wana option nyingi ya SUV. Kila kitu kwenye toyota ni cheap compared to LR. Sio spea tu, yaani design na material wanazotumia ni cheap. Huwezi kufananisha na range rover.

Mfano tuchukulie RR sport na Prado. Wewe tizama interior tu ilivo, Prado iko so basic, yaani kama hujaekewa ile screen na kubadilishiwa bodi huna tofauti na anaendesha na prado old. Kwenye toyota hupati feeling kama upo kwenye luxury vehicle sasa kaa ndani ya range rover.

Nchi kuwa na gari nyingi za brand moja ni choice tu ya raia wake, mfano hapa Tanzania tunapenda toyota, ukienda kwa jirani apo Kenya unakutana na ma nissan. Hapo Australia na japani ni magomeni na kariakoo tu. Range mpaka uitoe uingereza ya leo hayo!

Toyota inapendwa kwa engine reliability, upatikanaji wa spea ni rahisi ila price ya magari yao huwezi kujistfy na comparable model ya RR.

In short toyota ni engine tu na gearbox zake ila gari hazina mvuto kabisa ukiweka na RR.

RR

Range rover

Kwan gari zenye hilo neno zipo ngapi hadi ufikie hatua ya kufananisha na toyota zote🤔
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,256
2,000
'Hebu itizame new model land rover defender'

Aisee hio gari ni takataka kabisa from design(shape mbaya kinyamaaa) mpk reliability.

Kuna a/c maarufu huko youtube inaitwa Fast lane car jamaa alinunua hio gari akaenda nayo off-road ya kawaida maana anasema huko alikoenda gari yoyote ile yenye 4wd inaenda,wkt anarudi kwake gari ikamuwashia check engine light kumbuka mpk hapo gari ina Km 270 tu na ina siku mbili tu tangu imenunuliwa,ikabidi ipelekwe kwa dealers kutengenezwa imerudi tena barabarani jamaa anagundua camera za nyuma hazifanyi kazi na kwa US sheria zao kwa sasa ni camera ya nyuma ni lazima ikabidi irudi kwa dealer tena,na anasema mpk muda ule engineers wa LR hawajaweza kutatua tatizo hilo,hawajui shida iko wapi.

Nishawah design kitu kikafanya kazi for several months ila kilizima na mpaka sasa sijui tatizo ni nini😁😁 nimeshindwa repair nawaza badili vitu vyote nianze upya kwa hiyo na LR yamewakuta hayo

Hata kuna kipindi cha window phone nokia ilileta tatizo hata wahusika hawakuwa wakijua
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,636
2,000
Mkuu LC series 70 ni heavy duty sasa air suspension sio muhimu. Wao wameweka coil spring mbele na leaf spring nyuma sababu gari itafanya kazi nzito na mazingira magumu.

Hiyo air suspension nenda nayo kwenye njia korofi hata hiyo comfort ride hutoisikia zaidi ya gari kuhamahama.

Mfano ukichukua Lc pick up na L/Rover Defender pick up yenye coil spring mbele na nyuma ukazipa mzigo tani 1 kisha uingie njia mbaya mwisho wa safari mwenye L/Rover lazima ucheki bush na kuna uwezekano wa kukatika spring.
Sawa ndugu yangu, lakini unapouza LC milioni 200 ikiwa na tech ya zamani na mwenzako anauza RR kwa milioni 200 ikiwa na tech ya sasa, wewe wa LC utakuwa unatuchezea sasa. Kwanini usiuze tu kwa bei ya zamani kama zilizopita labda uongeze kidogo tu. Nimesema kuna kipindi BBC walikuwa na pick up ambayo imewekwa gorofani sijui jengo ghorofa ngapi lile labda 10, likawa demolished, gari imetolewa inakwenda. RR ingekuwa ishavurugika kitambo. Tuzungumzie price kwa features ili ku justify pricing ya LC na hasa hasa haya wanayotamba nayo viongozi.
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,636
2,000
LC 200 ni mbaya kiasi kwamba vijana wetu wa veta wanaweza kudesign a better looking car.

Unatoa 300Mil kwa Land cruiser ipo poorly designed.
Gari haina ata mvuto aisee. Ndio nasema bei yake, bora ununue RR utafurahi. Yaani haya LC yanashindanishwa na Vogue ila naona ata Velar tu inaifanya LC ionekane mkusanyiko wa vyuma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom