N NSHIBO1 Member Joined May 4, 2011 Posts 31 Reaction score 7 May 10, 2011 #1 Ni vp tunaweza kuwashashi vijana wa kike waungane katika harakati za kujikomboa na kuikomboa nchi yetu ktk umaskini uliosababishwa na chama tawala?
Ni vp tunaweza kuwashashi vijana wa kike waungane katika harakati za kujikomboa na kuikomboa nchi yetu ktk umaskini uliosababishwa na chama tawala?
O Omr JF-Expert Member Joined Nov 18, 2008 Posts 1,160 Reaction score 100 May 10, 2011 #2 post ya kwanza kweye JF na unaandika pumba kweli iko kazi humu ndani.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 May 10, 2011 #3 Mi cjui wa2 wengi wana tafakari gani¡¡¡¡¡¡¡?? Ki2 kiko wazi bado tu wanauliza. Mmmmmh!
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 May 10, 2011 #4 wewe ni mme/mke ....????????