ukombozi wa wasanii ni sasa

ukombozi wa wasanii ni sasa

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
wasanii woote wa bongo muda wa kufaidi matunda yenu ni sasa. sioni kama mkiendelea kulalamika kila siku ndo mtafanikiwa. huu siyo muda wakuendelea kulalamika zaidi ya kuungana na kuwa kitu kimoja. coz mnapigania kitu kimoja. nadhani kwakuanzia mnatakiwa kuwa na viongozi wasio wanafiki na ambao wanaweza kuwapigania nyie na cyo wanao pigania maslahi yao tuu...
 
Back
Top Bottom