Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

Hii safi sana, mimi nimeipenda sana.

Wakajionee jinsi mawakili wao uchwara wanavyogaragazwa kisheria.

Na wanachi wanaodanganywa danganywa watapata fundisho la kuelewa maana ya agreements na Contracts.

Hapo serikali iitumie hii fursa, ni nzuri sana.
 
Weka data mkuu.
Je unajua Mbeya ni miongoni mwa mikoa yenye maprofesa wengi? Mark Mwandosya ni mhandisi wa mawasiliano, David Homely Mwakyusa ni daktari bingwa mbobezi.

Hapo hatujawagusa wasomi wa zamani wa kwenye nyanja mbalimbali
Mikoa inayoongoza kwa idadi ya wasomi, Mbeya ni miongoni. Katika mikoa inayoongoza kwa utajiri, Mbeya ni miongoni.
 
Magu ni kisingizio kama mtakavyosingizia hata 2025 maana hata Sasa mnasema Samia ni dikteta anachowafanya ndicho Mwendazake aliwafanya.

Uchaguzi wa Vyama vingi haukuanzia Kwa Magu ,acheni ujinga na mihemko ya Twitter nyie nyumbu.
Pole sana kwa kunyimwa akili na uelewa.
 
Uchaguzi wa nchi hiì ni wa upande mmoja. Anayegombea urais wa chama fulani ndiye ameiweka tume ya uchaguzi madarakani, hapo haki na usawa vitatoka wapi? Ndio maana tunasema lazima tupate katiba mpya
Ndio imeshawakata mpaka hapo mumeishiwa mbinu za kulazimisha hiyo Hali badala yake mnataka ccm iwaonee huruma 😁😁😁😁
 
Tunaililia Tanganyika yetu kwa uchungu mkubwa mno! Tuombe Mungu inakoelekea isije ikageuka koloni la Zanzibar na Dubai.
 
Mikoa inayoongoza kwa idadi ya wasomi, Mbeya ni miongoni. Katika mikoa inayoongoza kwa utajiri, Mbeya ni miongoni.
Wewe ni msomi toa reference, idadi ya shule (historically, tangu zama hizo); idadi ya wasomi etc, kila nikiangalia historically shule nying (secondary) na vyuo vilikuwa Kilimanjaro, Dar na Iringa
 
Ifikie wakati tukubali tu, iwe hivi, kila Uchaguzi mkuu ya Miaka mitano Urais, uwe unaenda kwa mikoa yote nchini tanzania.
Ukitizama haya mambo kiundani Utaona ni vita za kimatabaka tu, ni vuta nikuvute ya kimakabila.
Tutaweza kutokomesha haya ya nani aliye mkombozi halisi!

Tatizo huu Udini na mengine-Vita ya mahasimu wetu waliokuja na dini zao tunapigana kwetu. Ila safari hii iende DODOMA. kama ilivyotarajiwa. Watatukomboa
 
Hizo ni chuki zako binafsi kwa sababu uko upande wa serikali.Kwani Kuna mkoa usio na matatizo uliyoyandika?Mkoa wa mbeya una jamii ya watu wenye misimamo tangu enzi za Nyerere km Marehemu jaji Mwakasendo,Mh Anangisye Mwalulesa,Tuntemeke Sanga na hata Dr Mwakyembe nk
 
Mbeya moto chiniiiii
 
Magu ni kisingizio kama mtakavyosingizia hata 2025 maana hata Sasa mnasema Samia ni dikteta anachowafanya ndicho Mwendazake aliwafanya.

Uchaguzi wa Vyama vingi haukuanzia Kwa Magu ,acheni ujinga na mihemko ya Twitter nyie nyumbu.
Mbona una hasira sana leo warabu wamekufanya kitu gani?

Maana wana tabia mbaya wale.
 
Bibi sheria ulisomea wapi?

Naona umegeuka mwanasheria wa ghafla ili kumlinda Samia!.

Baadae utageuka kuwa mhasibu!, ikibidi mwalimu!, ikilazimu kabisa utakuwa mganga wa kienyeji!!
 
Mbeya haina historia hiyo...
 
Endeleeni tu kuhangaika na bandari isiyowahusu huku serikali ikiendelea na mipango yake.
Hizo zenu ni kelele za chura tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…