DHANA YA UKOMBOZI WA MWANAMKE BADO NI TATA.
- ASASI NYINGI ZIMEANZISHWA KUWEKA MIKAKATI YA KUMKOMBOA
MWANAMKE.
- WANAWAKE WENGI WAMEINGIA MADARAKANI KWA KUWAAHIDI UKOMBOZI
WANAWAKE WENZIE.
- WANASIASA MAJUKWAANI WANASISITIZA UKOMBOZI WA MWANAMKE.
MIMI NAOMBA MNIELEWESHE,
- HIVI WANAWAKE WAKO UTUMWANI?
KAMA NI KWELI MWANAMKE YUKO UTUMWANI, ILI KUJIKOMBOA MWANAMKE ANAHITAJI KUMJUA ADUI YAKE.
BASI NIJULISHENI;
- NANI ADUI WA MWANAMKE ALIYEMTIA UTUMWANI?
Exaud J. Makyao
0784347001
Sasa hapo evolution inachukua nafasi gani Zakumi...kwa hiyo kuna gene inaplay hiyo part?
Sema ni matatizo ya kihistoria ya jamii husika.
Nadhani majibu yapo katika historia ya uumbaji (kama unaamini katika historia hiyo).
Mwanaume aliumbwa kabla ya mwanamke hivyo toka mwanzo anadhani ana haki zaidi ya mwanamke: Nadhani hili pia unaweza kuliona kwa binaadamu mpaka leo. Wale wenye umri mkubwa wana tend kujiona bora zaidi kulio wenye umri mdogo.
Mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kinyume chake ('...nitakuletea msaidizi wa kufanana nawe'): Hili linapelekea wakati mwingine mwanaume kumuona mwanamke kama chombo tu ana si mwenza katika maisha!
Baada ya uasi pale edeni laana aliyopewa mwanake ni tofauti na mwanaume. Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, tamaa yake itakuwa kwa mumewe nae atamtawala!
Wakati mwanaume ameamriwa kumpenda(nadhani mungu alijua mwanaume atapata shida kupenda kwa dhati) mkewe, Mwanamke yeye amuheshimu mumewe. Ukitizama utaona matatizo mengi katika ndoa yanasababishwa na wanandoa kushindwa kuyaishi maamrisho haya. Hata hayo matatizo uliyoyataja hapo juu yanatokana na tatizo katika eneo hili. Unawezaje kumtendea mabaya mtu unaempenda kwa dhati?
Nafahamu kuna watu wengi hawaamini katika historia hii, lakini ukitizama kwa makini kwa kiasi kikubwa yanaelezea kiini cha imbalance katika mahusiano baina ya wanaume na wanawake.
Kuna pia misemo kama: unalia kama mwanamke; una'behave' kama mwanamke etc. Kuna mifano mingi sana. Inawezekana kwa hayo yote wewe unaona hamna shida kabisa lakini kama kweli unampenda mke wako, mama yako, dada yako au mwanamke yeyote usingependa adharirishwe kwa sababu ya maumbile yake au kwa vile yeye ni mwanamke. Au unasemaje?[/QUOTE]
.....Ingawaje ni late ku-comment, lakini sijaona problem yoyote hapa. Hiyo ni nature na huwezi pambana nayo. Mambo ya mwanamke kumtii mwanaume unataka kuyapindua yaweje? Kwamba mwanamme amtii mwanamke?
It is natural kwa mwanamke kuwa mwanamke, yaani laini kimaumbile. Hormone zakem haziwezi kuwa sana na mwanamme. That is natural. Wewe siku moja jaribu siku umwambie mwanamke -mwone, una-behave kama mwanamme! Utakuwa umemdhalilisha sana na kumshusha mno. Na je kwa mwanamme kuitwa mwanamke?! Ni lazima mwanamke awe vile alivyo na si vinginevyo.
Mimi nadhani inatakiwa tuwe waangalifu tu tunapovamia hizi mila za nchi zingine. Sasa hivi pale Scandinavian countries, vijana hawataki kuona wanawake wao. Wanataka Baltic states au Asians. Kwanini?! Ni kwa sababu hii ya kuwalazimisha wanawake wafanane na wanaume na sasa hakuna compartibility! Mwanamke akisema,,,, inabidi uwe kimya. Ukinyanyua mdomo, mahakamani na fine kubwa sana.
Sasa iwapo watu wanakimbia wanawake wao kwa sababu ya hiyo, ina maana kuna tatizo hapo. Mbaya zaidi, hawa wanawake sasa hawataki wanaume kabisa. Wanawake kwa wasichana karibu wote wamefuga mbwa dume. Chunguzeni hapa mitaani Ulaya muone. Sababu, akijisikia hamu ya ngono, anapagawisha mbwa wake na anamlamba kunako issues zake, na orgasm ikifika mambo yameisha! Mbwa ni mammal, ana sense fluids/secretions zozote za kike za mnyama yoyote. Is that the way nature has provided for?
Nawahusudu sana Wa-Japan, Chinise, Indians, Israelis na wengi wa Asia. Mwanamke ni mke tu mpaka siku jua litakaamua kutoka magharibi kuja Mashariki! Sasa hawa wa kule Magharibi, tutaona. Ila inawahaibu sana Watanzania ambao ni myopic.
Mwacheni mwanamke aitwe mwanamke na mwanaume aendelee kuwa hivyo.

Hii ya Mbwa ni kweli au unaleta side show?
Zakumi;344536 [COLOR="Red" said:Hii ya Mbwa ni kweli au unaleta side show[/COLOR]?
Yes. Fuatilia kwa makini. Ni kweli kabisa. Wengi wanajua hili. Watasema hapa hapa JF.
Haya masuala yenu ya mfumo dume ndio maana ndoa nyingi zinavunjika...yameanza huko ulaya mnaona kulivyo hali ngumu kindoa...Kijo Bisimba na yule Ananelia Nkya nawachukia na idea zao kutuvunjia ndoa zetu.
Mwanamke ni mwanamke tu na ataendelea kuwa chini ya mwanaume.
Mimi naona sasa tunaenda nje ya suala muhimu, yaani kumkomboa mwanamke. Narudia tena kusema hakuna mtu anayesema kuwa watu waachane na misingi ya mila natamaduni zao, au kukubali maandiko ya vitabu vitakatifu. Nakiri kuwa sijasoma kwa undani vitabu vya dini, mimi ni mshiriki tu wa kawaida nenda kwenye hekaru nililoambiwa na wazazi wangu kuwa hapa ndiyo tunasali nasali narudi nymbani; lakini siamini kuwa vitabu vya dini vitaamua makusudi tu kumdhalilisha binaadamu tunayeambiwa kuwa ni mfano wa Mungu. Cha msingi ni kuwa tuwape heshima akina mama, tusiwadharau. Wapewe haki sawa mbele ya sheria, niliuliza mwanzoni hivi nani anajua kwa nini wale wazee wanaouawawa kwa kushukiwa kuwa ni wachawi wengi wao ni wanawake? ( Wenzetu mliosomea uchumi na saikoloji tuambieni kiini cha vifo vya wale wazee), Kuna mila zilizopitwa na wakati ambazo lazima tukubaliane kuwa hazitufai tena ( kwa mfano kuna baadhi ya makabila mtoto wa kiume wa miaka ku mpaka 12 anaheshimiwa kuliko mama wa miaka 40 na kuendelea) Kuhusu masuala ya ndoa, nadhani mtu yeyote aliyeolewa anathamini ndoa yake, kama anaachana na mumewe ni masuala mengine ambayo yana sehemu ndogo sana katika kuongoka kwa mwanamke. Hebu tujiulize mtu utakuwa na raha gani kuoana na binti ambaye hawezi kujizungumzia, hachangii katika uchumi wa nyumba kikamilifu anajihisi ni mnyonge daima etc. Unadhani watoto watakuwa na amani? Na hao watoto watajisikiaje kisaikolojia? Nani adui wa mwanamke? Kwa maoni yangu ni baadhi ya mila za zamani ( do not get me wrong there is a lot of our culture that I love and respect)
Wewe ndiyo uelewi hapa. Hatujasema umdhalilishe mtoto wako wa kike mpaka ashindwe kujieleza kama unavyosema.
Wewe unadhani kama unam underrate kila siku atajisikiaje? Kama unamwambia hawezi kufanya hili wala lie wewe ni mwanamke tu etc, kwa mkazo wa sauti unaoashiria dharau huyo mtoto wa kike atajisikiaje?
Tunasema kuwa yeye kama mtoto wa kike lazima endelee kuwa wa kike daima. Huwezi mlinganisha na mtoto wa kiume. Ni lazima umfundishe mtoto wa kike kuwa yeye ni wa kike na lazima a-behave kike.
Hapo ndiyo nadhani hukunielewa kabisa, sishauri kuwa wanawake wadhanie wao ni wanaume, kwanza sidhani kama wanawake wenyewe wanataka kuwa wanaume. Masuala ya kuoga na personal hygiene sijui umeyatoa wapi, yaani ni nje kabisa na mabo niliyosema, au ninayodhamiria kuyasema
Anyway Nakubaliana kutokubaliana na wewe kwa sababu tunaongelea vitu tofauti kabisa. Wewe unaongea kama vile nimeshauri kuwa wanaume wawe wanawake na wanawake wawe wanaume, kitu ambacho si dhamira yangu.
SUala la ndoa kuvunjika si dogo. Kule Scandivavia,Sweden ni number mbili Duniani kwa divorce rate! Elimu ya jinsia iko juu sana nchii hii. Tunaposema divorce rate, siyo kama za kibongo.
Kule watu wanaoana jumapili, jumanne hawaelewani na mwisho. Nenda google wela divorce rate subiri majibu. Uki-analyse utagundua ni kwa sababu ya maneno yako hayo juu hapo.
Mfumo jike uko wapi?Mwanamke hayuko huru.
Mfumo dume hufanya mwanamke asiwe huru.
Ukombozi wa Mwanamke ni kumpatia haki stahili katika yote. Adui mkubwa wa mwanamke ni Mfumo Dume uliotawala kwa karne nyingi huko nyuma ukapigiliwa misumari na dini zote kuu.
Idadi ya wanawake duniani ni theluthi mbili na wanaume ni theluthi moja. Hawa theluthi moja wanatawala kila rasilimali na kujitwalia fursa zote huku wanawake wakiachwa ama chombo cha uzalishaji mali.
Mwanamke anakuwa hana haki katika jambo lolote hata lilolohusu matumizi ya mwili wake mwenyewe labda aseme 'naumwa' tena Zanzibar ndio hatari zaidi maana hata akisena 'naumwa' anaambiwa 'uani'
Kufuatia hali hii, Barakuu la Umoja wa Mataifa likaitisha mkutano Mkuu wa Wanawake uliojilikana kwa jina maarufu la Mkutano wa Beijing. Mhe. Dr. Getrude Mongella toka Tanzania ndiye alichaguliwa Mwenyekiti wa mkotano huo.
Mkutano huo uliwakilisha wanawake toka kila sekta na kila jamii toka nchi zote duniani na ulipitisha maazimio yafuatayo...click google 'Beijing Declaration'.. Utekelezaji wa maazimio haya ndio ukombozi wa mwanamke.
Mpaka sasa ni nchi chache zimefanikiwa kutekeleza maazimio hayo. Tanzania inapiga hatua nzuri