Ukombozi wa kifikra

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Nipo tayari kulipa gharama, sitasimama maovu yakitawala.

1. Che

2. Jonas

3. Nelson

Hawa watu nawapenda sana siasa yao kuhusu ukombozi maana walikuwa watu poa usoni, kimaneno ila kiutendaji ni habari nyingine kabisa.

Ukiweza kukomboa jamii kwa kauli, kifikra mwisho unapaswa mawazo yako uyabadiri sasa na kuwa matendo.

"Together we can make it"
 
Back
Top Bottom