tunajali bana, lazma kila siku ujue mpenzi wako yupo wapi, amekula nini na maendeleo yake kiujumla.
Haswa shemeg...dadako huwa maji hayashuki kwenye koromeo asipojua mahali nilipo.
saa ingine anataka kujua ili akafanye mambo yake....Hivi kwa nini wapenzi hupenda kuulizana hili swali kwenye simu? Unakuta sio kwamba anataka kujua mwenzie yuko wapi ili amfuate lakini lazima liulizwe. Uko wapi apo,utafikiri anapaona bwana.
hahhaha, safi sana. duh! mi siwezi maliza masaa matatu bila kumuuliza kaka yako alipo aisee.
Mmmh shemeg huko kuuliza kwako kumepishana kama unywaji wa tembe za malaria...
Hivi kwa nini wapenzi hupenda kuulizana hili swali kwenye simu? Unakuta sio kwamba anataka kujua mwenzie yuko wapi ili amfuate lakini lazima liulizwe. Uko wapi apo,utafikiri anapaona bwana.
Unaweza kudhani unamjali mtu kumbe ikawa KERO!!!!!!
Kila saa uko wapi!!!!!!unafanyaje!!!!!!kila mda.........
Kama yuko sehem anagegeda atakwambia!!!!!!!!!
jibu tu kwa ukarimu mahali ulipo...
Hata ukijibu upo toilet , italeta maana ya ukarimu?