yeyote anayetafuta mwenza humu anataka kudanganywa. Wengine hizi tunaona ka bahati. Yaani duh sawa na kuniwekea sahani ya chakula mezani alafu uone kama ntakula au la.

Wewew Utajuaje huyu mkweli na huyu mdanganyifu? Utadanganywa tu humu. Lakini ka wanavyosema You never fail until you stop trying. Ukidanganywa endelea kujaribu..........

kwa kumuangalia sitaweza kumjua mdanganyifu kama vile yule dada ambavyo hakuweza kukugundua hadi ukamsababishia matatizo na sasa anahangaika na kichanga...OMG!!! Ila kwa kumchunguza nitakuja kubaini kama ni mkweli au laa