Uko wapi upinzani waliouasisi Mabere Marando na Lyatonga Mrema?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,744
Reaction score
5,769
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.

Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?

Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
 
Watu wanajifikiza huku wewe umekalia majungu!! Utakufwa usicheze na corona wewee...kuraaa nyungu ...maana hii ndiyo kauli mbiu ya Taifa kwa sasa...

Chanjo za mabeberu hatuzitaki...wajichanje wenyewe uko uko !!

CCM oyeeee.....!!
 
Huyo Mrema ana tofauti gani na Lowasa? Baada ya kupewa nafasi ya kugombea Urais kupitia NCCR Mageuzi mwaka 1995, na baadae kuangukia pua hakuna asiye fahamu kilicho tokea baadae.

Hivyo hana sifa ya kuitwa Muasisi wa Upinzani! Tukimuita huyo Pandikizi Muasisi, na Marehemu James Mapalala tumuitaje?
 
Watu wanajifikiza huku wewe umekalia majungu!! Utakufwa usicheze corona...kuraaa nyungu ...maana hii ndiyo kauli mbiu ya taifa kwa sasa...

Chanjo za mabeberu hatuzitaki...wajichanje wenyewe !!

CCM oyeeee.....!!
Magufuli aomgezewe miaka 20
 
Huyo Mrema ana tofauti gani na Lowasa? Baada ya kupewa nafasi ya kugombea Urais kupitia NCCR Mageuzi mwaka 1995, na baadae kuangukia pua hakuna asiye fahamu kilicho tokea baadae.

Hivyo hana sifa ya kuitwa Muasisi wa Upinzani! Tukimuita huyo Pandikizi Muasisi, na Marehemu James Mapalala tumuitaje?
Kamanda umekosea.
 
Kwenye ishu ya kuibua masuala ya ufisadi, kwa mtazamo wangu Dr. Wilbrod Slaa, David Kafulila, John Mnyika na Tundu Lissu! Ndiyo ambao walifanya kazi kubwa na hasa wakati serikali ya JK ilipokuwa madrakani.
Kumbuka ufisadi kipindi cha Jakaya na Mkapa (RIP) ulikuwa tofauti. Lazima hata mashambulizi yawe tofauti.
 
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.

Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?

Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
Nitajie katika hao wapinzani kama kuna yoyote aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye eneo la bunge, na kundi la watu wasiojulikana wenye backup ya marais wa wakati huo.
 
Swali gani hili?
 
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.

Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?

Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
Mrema hajawahi kuasisi upinzani wa Tanzania , uongo iko siku utakuponza
 
Back
Top Bottom