Weka kumbukumbu zako sawa.Mrema hajawahi kuasisi upinzani wa Tanzania , uongo iko siku utakuponza
Shem on you tangu lini shushu akawa mpinzani wewe boya unakeraUlikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.
Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?
Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.

Msiojulikana hamna tena kazi mmebaki kubweka tu ili msikike kama mpo twambien kwanza ile mipanga boy imenunuliwa bei gani senzi sana mizwazwa nyinyiUpinzani wa mbowe anakula pesa zote za ruzuku
Mbowe ni mwizi wa posho za wabunge wenzake au nasema uongo?Watu wanajifikiza huku wewe umekalia majungu!! Utakufwa usicheze corona...kuraaa nyungu ...maana hii ndiyo kauli mbiu ya taifa kwa sasa...
Chanjo za mabeberu hatuzitaki...wajichanje wenyewe !!
CCM oyeeee.....!!
Muondoe mpuuzi Tundu LissuKwenye ishu ya kuibua masuala ya ufisadi, kwa mtazamo wangu Dr. Wilbrod Slaa, David Kafulila, John Mnyika na Tundu Lissu! Ndiyo ambao walifanya kazi kubwa na hasa wakati serikali ya JK ilipokuwa madrakani.
Iko wapi ile CCM iliyokuwa inaheshimu demokrasia, iliyokuwa inaheshimu haki za binadamu, inaheshimu uhuru wa maoni? CCM ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.
Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?
Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
Labda ya kutawala mji wake!!Magufuli aomgezewe miaka 20
Mh...Iko wapi ile CCM iliyokuwa inaheshimu demokrasia, iliyokuwa inaheshimu haki za binadamu, inaheshimu uhuru wa maoni? CCM ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?
Hujui?Kwani Chama Cha mrema kiko wapi na Mrema yuko wapi, tuanzie hapo kwanza
Tulia.Mbona upinzani huu wa Lissu ulihoji uhalali wa vitambulisho vya machinga hadi boss wenu akasema havina umuhimu ila yeye ndio aliviasisi
Hivi kitambulisho hakina hata picha wala jina unaweza kuombea mkopo Benki ?
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.