Uko wapi upinzani waliouasisi Mabere Marando na Lyatonga Mrema?

Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.

Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?

Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
Kwann prof. Asked aliondolewa kabla ya muda wake?
 
Back
Top Bottom