uko wapi ubinadamu hapa??

uko wapi ubinadamu hapa??

Huu ni ujinga tu, watu zaidi ya saba wanamkanyaga mtu mmoja hana hata silaha
 
Uwenda kawasumbua Sana porini na uwenda akawa ni mmoja wapo ya wajeshi waasi ambao watakuwa wameua watu wasio na hatia
 
Tanzania ndiko tunakoelekea huko japokuwa speed ndogo sana kuelekea huko lakini tutafika tu huko...
 
Mboga sisi tunakatwa hadi na ChainSaw.. Hiki cha mtoto sana!!
 
Sio mbaya. Waliidha amriwa na pinda kwamba Wapigwena wauawe tu. Kamwe hatutaweza kusahau kauli km hizi za kihuni kutoka ccm
 
Vita isikie tu, huo mziki ukianza hapa hakuna hata wa kufungua jf mda wote unakimbiza roho yako.
 
KikulachoChako tumuombe sana Mungu tusije fika huku vita ni mbaya na madhara yake ni makubwa mno

lakn tunalazaimisha sana kujipeleka vitan,, na soon tunaingia na kikinuka tu huo moto sijui nani wa kuuzima kila kona ya nchi kumejaa chuki
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako tumuombe sana Mungu tusije fika huku vita ni mbaya na madhara yake ni makubwa mno
Haya mambo hayaepuikiki Katika nchi ambayo dhuruma kwa wenye haki imekuwa ni jambo la kawaida.......katika nchi ambayo wezi wa mali ya umma wanabembelezwa kurudisha walichoiba bila ya kuangalia madhara waliosababisha.......Katika nchi ambayo wanaodai haki zao wanakamatwa na kung"olewa kucha na meno kwa bisibisi....katika nchi ambayo watoto wa walalahoi hawajui kesho yao matukio kama hayo hayashangazi.......katika nchi ambayo watawala wanagawana keki ya taifa wao na familia zao huku watawaliwa wakiishi chini ya dola moja haikuhitaji kuwa mnajimu mkuu kutabili machafuko......Katika nchi ambayo mwekezaji mgeni anathaminiwa kuliko mwekezaji mzalendo machafuko hayaepukiki.......katika taifa ambalo kiongozi wake mkuu hajui kwanini wananchi wake wanakabiliwa na umasikini kama sio ufukara ni vigumu kudumu kwa amani........katika nchi ambayo hakuna huduma za afya za uhakika katika vituo vya afya huku wananchi wakiwashuhudia viongozi wao wakienda kucheki afya zao nje ya tena kwa msururu wa magari...machafuko hayaepukiki......................
 
Mnyama ana nafuu.

Hata anapofanya mauaji ni kwa ajili ya chakula.

Sasa baada ya hapo hao watafanya nini?, hakuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom