Tamka jina lake nione.
Bado hajapatikana!??
Najitolea kukuongeza kwenye SACCOSS yangu..kuna pengo waliloliacha Mrembo by Nature na yule mwenzake ladyfurahia.
Bado hajapatikana!??
Najitolea kukuongeza kwenye SACCOSS yangu..kuna pengo waliloliacha Mrembo by Nature na yule mwenzake ladyfurahia.
ni mtanzania kabisa
mie ant-saccos
Actions speak louder than words..benki nyingi zilianza kama SACCOS. Now ni jukumu lako kuongeza uzalishaji uwe promoted to a bank ama ubaki SACCOS.
My offer is valid mpaka Ijumaa jioni...!!!:tongue:
ndo ulikomuonea?