Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Unawivu na kizee Cha watu ila kweli ni mzuri sanA ila ni mrefu sana anafaa wakina warefuuBhas iyo kwa upande wako madam ,ila yey Yuko free
Ooh sawaKwa muonekano ule, anakuwa ameshakubalika peponi; hana haja ya maombi tena
hujalala tuOoh sawa
Ndio badohujalala tu
Naona unapata vitu vizitoNdio bado
Unasubiri nini sasa?Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Mtafute +255 78 674 2838Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Vitu vizito😂😂😂😂Naona unapata vitu vizito
Una wazimuWikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Huyu kavaa bendera ya watu anaglia yasikukute ya kukukutaWikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Anatakiwa awaze nini mkuuA Typical Black person's mindset
Nilikuwa sijaona, hawa jamaa mpaka kwenye vyakula 'imported' wataweka label zaoHuyu kavaa bendera ya watu anaglia yasikukute ya kukukuta
Wengi eacha tufue nguoWikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Dunia ni sehemu salama pa kuishiWengi eacha tufue nguo
Unafua nguo pembeni Kuna bapa unalipiga na jua kaliDunia ni sehemu salama pa kuishi
Kwa nini ufue nguo, wakati maua ya dunia yapo kila kona na wako tayari kukusaidia kufua hizo nguo?Unafua nguo pembeni Kuna bapa unalipiga na jua kali
Kazi ya maua ni kuliwa kiboga tu ova. Atapigiwa simuKwa nini ufue nguo, wakati maua ya dunia yapo kila kona na wako tayari kukusaidia kufua hizo nguo?
Wana kazi za kuweka mazingira safi n.kKazi ya maua ni kuliwa kiboga tu ova. Atapigiwa simu