Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,110
- 10,613
Wee mtu๐ ๐chai ipo ila inaunguza mafizi ya moto kweli kwelView attachment 2545219
Lazima ufurahiha ha ha nimecheka sana; pata kvant kwa gharama ya mfuko wako
Umeolewa na kibabu aisee dunia inakaribia 7G๐Ndio na wameoa huyu ni Babu, ila ukiwa naye utaenjoy sana anajua matunzoo kubali anahela
Mie Equation x ni mtu mzima sana ila anawezaUmeolewa na kibabu aisee dunia inakaribia 7G๐
Nimefanyaje??
Impossible is nothing kila la kheri kwenye ndoa yenuMie Equation x ni mtu mzima sana ila anaweza
Equation xNimefanyaje??
Amefanya kazi yake wapi???
Eh kwani Kuna ubaya??Umeamua kuwa chawa wangu, sawa ๐ ๐ ๐
Si umesema anaweza ,Basi tumebariki ikawe kheri na bharakaAmefanya kazi yake wapi???
Sio kwangu sijawahi kukaa Naye meza Moja anaringa sanaSi umesema anaweza ,Basi tumebariki ikawe kheri na bharaka
ha ha ha mkuu, mchukue tuImpossible is nothing kila la kheri kwenye ndoa yenu
Punguza kuringa mkuu ,Unique Flower hapendi maringoha ha ha mkuu, mchukue tu
Mie Siko na huyu Mzee kijana mnaharibu ndoa za watuPunguza kuringa mkuu ,Unique Flower hapendi maringo
Angalia moyoni mwake watu Kam Equation x wako wachache mno wanaloveSio kwangu sijawahi kukaa Naye meza Moja anaringa sana
Dada yangu huyu anataka ndoa, hataki harakati za hapa na palePunguza kuringa mkuu ,Unique Flower hapendi maringo
Bhas iyo kwa upande wako madam ,ila yey Yuko freeMie Siko na huyu Mzee kijana mnaharibu ndoa za watu
hapana, uko sawa furahia maishaEh kwani Kuna ubaya??