Uko wapi mrembo?

Yuko kweny mkesha wa maombi.
 
......duuh mkuu hivi hawa wa hivi wapo kweli au hizi ni edited images....tunarushana roho....ukibahatika kupata kama kampani tu inatosha wikiendi yako itakua nzuri kwakweli....
Wapo mkuu, ila wengi wao sio wa kuoa; kampani tu, unamlipa chake maisha yanaendelea.
 
.....zungumza nae vizuri mkuu, you never know pengine na yeye anakufeel mkajikuta mna-make it!!......
 
Kweli mnaenjoi maisha

Sisi enzi zetu hadi utume mshenga, ingawa tulikuwa tunapata Bikra tu πŸ€—
Hata kwa sasa bado hujachelewa; unaweza ukafurahia haya maisha, muhimu uwe tayari kuteketekeza angalau laki 5 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…