Uko wapi Janny? Nakutafuta

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Tukikuwa wote Bukoba mjini miaka ya 90

Mwaka 2000 tulikutana tena jiji Mwanza tukaendeleza mahusiano ...

Nilisafiri nje ya nchi na sasa nimerudi - nikaenda mtaani kwako ulikokuwa ukiishi nimeambiwa ulihama na hakuna mwenye namba yako ya simu.

Jamani atakayesoma hii jumbe anipm kama anaweza nisaidia kumpata huyu Janny.
 
Pole sana kwa kupotezana na mtu unaempenda lkn jaribu kuweka majina yake yote mawili au matatu ndani ya siku mbili nitakuwa nimepata namba yake
 
Pole sana kwa kupotezana na mtu unaempenda lkn jaribu kuweka majina yake yote mawili au matatu ndani ya siku mbili nitakuwa nimepata namba yake
utaitoa wapi???

labda nitoe sifa zake ...

NI MAJI YA KUNDE, ANA ASILI YA WANYANKOLE JAPO YEYE ANASEMA NI MHAYA
ALIKUWA ANAISHI NYAMANORO JIJINI MWANZA
MARA YA MWISHO TULIKUWA KITWIMA HOTEL ILIYOKO MTAA WA RUFIJI MWANZA
 
Back
Top Bottom